computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hapa sasa nimekuelewa Mkuu nadhani hatarudia tena hii mistake si unaona kwenye official page ya Arsenal Timber kawa Man of the match!Lengo la kocha nadhani ilikua ni kuwapa dakika wengine ambao msimu uliopita hawakupata sana nafasi na ndicho kilichotucost baadhi ya wachezaji hawakua na match fitness, btw it was just another preseason game
Sio kweli bhn,Mwanetu yule , soon tutaanza kumfukuzia ,Arsenal ya Sasa mashabiki wawe na utulivu, wasitake tusajili ilimradi ni CF,
Yaan kuwafunga manjesta, chelkenge, tunahitaji lazima awepo CF?
January lazima tutaanza mipango ya kushusha CF wa maana , Kama hatutasajili CF Sasa
Na habari njema Jesus alikuwepo Jana ,anasema yupo vzr anarud sio muda
Pale aliyumba asee ,Hapa sasa nimekuelewa Mkuu nadhani hatarudia tena hii mistake si unaona kwenye official page ya Arsenal Timber kawa Man of the match!
Yaan wewe jamaa hujawahi kukosa majibuUnajua kwa Ulaya Man Utd inajulikana ndio timu tajiri kuliko zote, sasa suala la tajiri kununua bidhaa aliyoipenda kwa bei ya juu sio jambo la kushangaza kwa matajiri wenzake, Ila maskini wa Tandale akisikia Bakhresa kanunua Supermarket fungu mbili za mchicha kwa 50,000/- lazima povu liwe jingi, hio 50,000/- itamuuma na kumsokota roho utafikiri imetoka mfukoni mwake.
Matajiri kupigwa ndio sehemu ya matumizi ya utajiri wake kijana hilo lisikuume sana.
Pale aliyumba asee ,
KT mzuri lakin Timber Ni kitasa ,lakin pia alijitahidi aliokoa ,wahun wakarudisha tena mpira
True ,Na ndo maana amebaki kma squad player...sio starter maana ule mpira angeupiga kwa nguvu usingepigwa kichwa na de Bruyne na kusababisha goli
Unapozungumzia sajili za kitapeli msimu huu naomba usiwasahau Mchele na Kai Harvez kwenye orodha yako.Yaan wewe jamaa hujawahi kukosa majibu
Kwahiyo unafurahia kabisa Chelsea kuwatapeli mount
Mount Mimi namuona Kama veteran aliyemaliza mpira miaka miwili iliyopita
A Dutch David Moyes Erik 7 hag anamsajili mount ambaye ana Mwaka na nusu ana goli 1 na assist 1, eti ambadilishe ,
Wakati Kuna wachezaj wengi wazuri hapo manjesta kafeli kuwasaidia , mpaka hapo nikajua mount anaenda kuwa Moja ya Sajili za kitapeli episode 1,
Kama Kuna mchezaji Sina Shaka kabisa mmetapeliwa Basi ni mount .
Wale Mansista Duu huwa wanatukazia sana. Sasa tunaanza kuwalainishaKwa hio kumbe hamshangilii kubeba Ngao, mnachoshangilia ni kudraw na mliMan City? View attachment 2710963
Hujaona kazi zao Jana aseeUnapozungumzia sajili za kitapeli msimu huu naomba usiwasahau Mchele na Kai Harvez kwenye orodha yako.
Ndiyo...wa kawaida sana....asipochezeshwa na viungo ni mzururaji uwanjani....hirizi yake ni De Bruyne...leo umeona kafichwa tuli akawa anakimbiakimbia tu....Sasa ww Baki na kigenge chako cha Newcastle msimu huu na mkakati wenu wa kupoteza mda safari hii utawatokea puani....nilisema na ntasema tena....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...yaani msahau kuipata tena..mrudi nafasi zenu za 6 kushuka chini huko
Narudia tena...ww level zenu ni hao kina Aston villa na level zenu ni nafasi ya 6 kushuka chini....huna ubavu hata wa kwenda jino kwa jino na Tottenham tu...uje kutusumbua sisi...chezeni miaka kama 3 mzoeane hasa ndo mje kuanza kushindana na sisi ila kwa sasahv bado sana....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...na msimu huu mna points 6 zetu Sio 4 kama mwaka janaKuchukua hio shilingi 20 isikufanye uone kama umemaliza kila kitu hio mbona si mara ya kwanza kuchukua ndo kombe lenu hilo, hakuna timu isiyopoteza muda unakumbuka game yenu na liverpool mlivyopoteza muda na bado mkakosa ushindi.
Newcastle ni title contender usifananishe na nyinyi bottlers. Sisi game zetu tano tu tukishinda zote basii ndo mjue mchezo umeisha bahati nzuri tumepewa timu za maana mapema.
Arsenal unauchukulia ubingwa sijuii kama nini yaani huna CF then unawaza ubingwakweli? Nakuambia tunza haya maneno wewe humalizi juu ya Aston villa .
Aliyemleta Timber anafaa kwenda PEPONI!Mchezaji bora for the first time utamuona tu!Pale aliyumba asee ,
KT mzuri lakin Timber Ni kitasa ,lakin pia alijitahidi aliokoa ,wahun wakarudisha tena mpira
Arsenyo kubeba hio shilingi 5 jana wanajiona tayari wameshakua mabingwa wa Epl, wamuulize Liverpool msimu ulioisha nae alichukua ngao kipi kimempata kwenye ligi.Kuchukua hio shilingi 20 isikufanye uone kama umemaliza kila kitu hio mbona si mara ya kwanza kuchukua ndo kombe lenu hilo, hakuna timu isiyopoteza muda unakumbuka game yenu na liverpool mlivyopoteza muda na bado mkakosa ushindi.
Newcastle ni title contender usifananishe na nyinyi bottlers. Sisi game zetu tano tu tukishinda zote basii ndo mjue mchezo umeisha bahati nzuri tumepewa timu za maana mapema.
Arsenal unauchukulia ubingwa sijuii kama nini yaani huna CF then unawaza ubingwakweli? Nakuambia tunza haya maneno wewe humalizi juu ya Aston villa .
Ya Liver sisi hayatuhusu....tunachojua sisi tumetwa community shield jana...hzo ngonjera zingine watani pelekeni huko....na tunachoelewa kingine kuna timu mechi ya nne ya ligi tunakutana nayo itupe points zetu 3 na magoli 3....hcho ndo tunachokijua sisiArsenyo kubeba hio shilingi 5 jana wanajiona tayari wameshakua mabingwa wa Epl, wamuulize Liverpool msimu ulioisha nae alichukua ngao kipi kimempata kwenye ligi. View attachment 2711010
Liverpool alijaza wazee kikos kizima ,ni wajinga tu waliokuwa wanaamini Liverpool angepigania ubingwa na Midfielders ina jumla ya umri miaka 130Arsenyo kubeba hio shilingi 5 jana wanajiona tayari wameshakua mabingwa wa Epl, wamuulize Liverpool msimu ulioisha nae alichukua ngao kipi kimempata kwenye ligi. View attachment 2711010
Natamani KDB aumie kama miezi 6 awe bench ,then bernado silver aende barca ili mancity asitupe ushindani katika ligi .
False hopes hizo ndugu yangu computerarsenalJambo jingine ambalo Arsenal players nimeliona kwao ni wanajua kupiga penalties!nahisi hilo wadau hamjaliona kwa jicho la 3 and even Ramsdale kaanza kudaka at least penalties!
Arsenyo kubeba hio shilingi 5 jana wanajiona tayari wameshakua mabingwa wa Epl, wamuulize Liverpool msimu ulioisha nae alichukua ngao kipi kimempata kwenye ligi. View attachment 2711010