arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Ubaya Ubaya tuHabari njema sana kwetu, ila Liverpool sidhani kama wataikubali hiyo ofa.
Ubaya Ubaya tuHabari njema sana kwetu, ila Liverpool sidhani kama wataikubali hiyo ofa.
Waarabu wakaze tu,Habari njema sana kwetu, ila Liverpool sidhani kama wataikubali hiyo ofa.
Kipindi wanatufunga sisi tukiwa dhaifu mbona wao walikuwa hawaombei tuwe strong.....Ubaya Ubaya tu...Kama waarabu wanamtaka Salah wamchukue haraka sana ..ikiwezekana Salah agome alazimishe kuondoka...Manyumbu yabaki hvihvi yasipate wachezaji wengine wa maana .....Chelsea wabaki na kikundi Chao cha ma Rasta hivihivi...Man City De Bruyne aumie mwaka mzima...ikiwezekana na Rodri naye aumie mda mrefu...
Daaah[emoji16][emoji16][emoji16] mlimani kufunga na kuomba aiseee[emoji1787][emoji1787] Niliomba waondokewe na fabinho na Henderson, Sasa naingia mliman kufunga ,aondoke Salah ,uzuri wasaudia hawatishii nyau ,wao wanaweka pesa mezan wamemaliza ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah[emoji16][emoji16][emoji16] mlimani kufunga na kuomba aiseee
Nakumbuka kauli yake ya mwaka juzi wakati wanapanda daraja alisema hili Arsenal ashinde ubingwa inabid wawe na striker kama yeye, yan wawe nae yeye.Ivany Toney au Ivan Ferguson wa Brighton nafikiri one day watahusika pale Emirates
Binafsi natamani sanaa Toney aje pale atafiti vzr Sana.,
Kocha wa Brentford mwaka Jana alisema Toney watamuuza £100m ,
He needs us and We need Him.
Community shield hua haihesabiki kua ni kombe, lile ni sinia tu kama masinia mengine ya kwenye shughuli.Remove FA cups and Community Shield cups and Arsenal will remain a trophyless club since 2004.
[emoji23][emoji23]
Wenger orphans kwaiyo haya ndo yamebaki ndo makombe yenu.
Buree kabisa.View attachment 2710808
Mkishinda nyie ni makombe ,Tukishinda Arsenal sio makombe [emoji1787][emoji1787]Community shield hua haihesabiki kua ni kombe, lile ni sinia tu kama masinia mengine ya kwenye shughuli.
Arsenyo kabati lao la makombe lina masinia mengi kuliko idadi ya makombe, pia makombe ya Emirates na FA ndio yanafatia kwa wingi kwenye kujaza kabati lao.
Genious Pep huyu hapa anaelezea kuhusu sinia la ubwabwa walilo kabidhiwa Arsenyo jana[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2710867
Mwanetu yule , soon tutaanza kumfukuzia ,Arsenal ya Sasa mashabiki wawe na utulivu, wasitake tusajili ilimradi ni CF,Nakumbuka kauli yake ya mwaka juzi wakati wanapanda daraja alisema hili Arsenal ashinde ubingwa inabid wawe na striker kama yeye, yan wawe nae yeye.
Msimu ulioisha Liverpool alishinda hilo sinia na kwa kutambua kua hilo ni kama bonanza tu la kufunguliwa kwa pazia la ligi wala hata hawakushangilia, sanasana waliishia kusikitika tu kwa kujua baada ya kupewa hilo sinia litawapata jambo na kweli limewapata.Mkishinda nyie ni makombe ,Tukishinda Arsenal sio makombe [emoji1787][emoji1787]
Niwekee mataji ya Erevedise na Bundesliga hapa
View attachment 2710868View attachment 2710869
Ndio maana inaitwa community shield sio community cup ndugu yangu Masingeli.Mkishinda nyie ni makombe ,Tukishinda Arsenal sio makombe [emoji1787][emoji1787]
Niwekee mataji ya Erevedise na Bundesliga hapa
View attachment 2710868View attachment 2710869
Walishangilia sana ,Leta picha hapaMsimu ulioisha Liverpool alishinda hilo sinia na kwa kutambua kua hilo ni kama bonanza tu la kufunguliwa kwa pazia la ligi wala hata hawakushangilia, sanasana waliishia kusikitika tu kwa kujua baada ya kupewa hilo sinia litawapata jambo na kweli limewapata.
Hivi kwani sisi na nyinyi lini, naona kama kelele zimekua nyingi humu.
Uganda mashabiki wa Arsenyo wameandamana tena kusherehekea timu yao kubeba ngao ya hisani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Walipoanza kufunga goli wao alishangilia kama kashinda kombe la Dunia...Maneno ya mkosaji hayo....Guardiola ni attention seeker....mwaka huu unganeni naye tena kutuombea njaa....na asijidanganye tukafungua gepu la point nane kama mwaka jana....shughuli yake itakuwa imeishia hapoCommunity shield hua haihesabiki kua ni kombe, lile ni sinia tu kama masinia mengine ya kwenye shughuli.
Arsenyo kabati lao la makombe lina masinia mengi kuliko idadi ya makombe, pia makombe ya Emirates na FA ndio yanafatia kwa wingi kwenye kujaza kabati lao.
Genious Pep huyu hapa anaelezea kuhusu sinia la ubwabwa walilo kabidhiwa Arsenyo jana[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2710867
Flano acha hizo, Ila kile kikarabao energy drink ndio cup, why hamjaalikwa Wembley kama kile ni kikombeNdio maana inaitwa community shield sio community cup ndugu yangu Masingeli.
Kunya anye kuku mkuu akinya bata kaharisha. Kwao wao kombe kwetu gunners tukishinda sinia kitukoMkishinda nyie ni makombe ,Tukishinda Arsenal sio makombe [emoji1787][emoji1787]
Niwekee mataji ya Erevedise na Bundesliga hapa
View attachment 2710868View attachment 2710869