hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
Kwa SHERIA hii mpya Kuna mechi zitakuwa zinaongezwa dk 15Exactly na mimi niliwafikiria Newcastle United. Tabia yao yakupoteza muda wakicheza na Arsenal msimu huu gemu itakua inaendabhadi dakika 100+
Kuna game moja Newcastle vs Liverpool yalipoteza muda ,refa akaongeza dk had yalipopigwa goli ndio akamaliza mpira