hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Huna la kusemaKama hii ndo arsenyani mnayo tutapa nayo hakika kitawaramba aise [emoji39]
Huna la kusemaKama hii ndo arsenyani mnayo tutapa nayo hakika kitawaramba aise [emoji39]
Kadaka 2 ndan ya wikiJAMANI RAMSDALE KADAKA PENATI
Movement zenu za kwenda kwenye goal ni zakawaida sana hata goal lenu ni la papatu papatu.Huna la kusema
Umeona shoga yako mama cita tulichomfanyaHuko hamis77 kabana kende vibaya mno maana alijitapa Sana haweka wapi sura yake.View attachment 2710279
Halland kakamatwa sana leoWe played really good against City today nadhani ndio game ya kwanza in years tumecheza kiume hivi Halaand alitupiwa mfukoni qmmmqe
[emoji1][emoji1][emoji1] hongereni sana Gunners hakika mmepambana kiume ingawa goli lenyewe mmelipata kibahati bahati sana.Huna la kusema
Hiyo iko waziKwa mpira uliochezwa leo,
Ni wazi Man U anakwenda kubeba epl msimu huu.
We Kenge!?Hiyo iko wazi
Kamanda popote ulipo upewe udiwani au uwaziriKwa mpira uliochezwa leo,
Ni wazi Man U anakwenda kubeba epl msimu huu.
Matokeo yenu vipi[emoji1][emoji1][emoji1] hongereni sana Gunners hakika mmepambana kiume ingawa goli lenyewe mmelipata kibahati bahati sana.
Ila Harvez atawachelewesha sana aiseee.
Trossard mmoja sawa na Harvez watatu.
Umetukana mkuu😀😀😀We played really good against City today nadhani ndio game ya kwanza in years tumecheza kiume hivi Halaand alitupiwa mfukoni qmmmqe
Hawawez kuja, tukifungwa wanasema tunakimbiaWale washakunaku mko wapi hahahahaaha