Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

City Kama wanaitaka hiyo ngao waichukue kwenye penalties

Tulitaka kutest mitambo tu leo,
Arteta naona kaona weakness na strength ya squad yetu
 
Hongereni arsenal. Mmepambana sasa ni matuta.

hamisi nilikuambia nitakuwa hapa mpaka dk za penalties[emoji23][emoji23]
Huko hamis77 kabana kende vibaya mno maana alijitapa Sana haweka wapi sura yake.
1690134466770.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom