computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Nakubaliana na wewe kwenye hili,hakuna team yoyote duniani ya sasa hivi atamfunga pep kwa kumiliki mpiraNa hii ni akili ya kawaida tu.
Aina moja ya mpira haiwezi kukupa mafanikio kila siku. hamis77 anakataa kwamba timu pinzani haiwezi kukuachia mpira ila anasahau hata Arsenal tushamuachia Brighton mpira sisi tukatafuta magoli.
Na hata Europa tuliwahi cheza kwa mtindo huo.
Game dhidi ya City anatuwekea mabeki 3 nyuma tukamiliki mpira. Next game mpira akamiliki na akatunyoosha vile vile
Brighton alituzidi asee ,ule mpira wa Brighton Kama huna mbinu thabiti wanakubatuaNa hii ni akili ya kawaida tu.
Aina moja ya mpira haiwezi kukupa mafanikio kila siku. hamis77 anakataa kwamba timu pinzani haiwezi kukuachia mpira ila anasahau hata Arsenal tushamuachia Brighton mpira sisi tukatafuta magoli.
Na hata Europa tuliwahi cheza kwa mtindo huo.
Game dhidi ya City anatuwekea mabeki 3 nyuma tukamiliki mpira. Next game mpira akamiliki na akatunyoosha vile vile
FACT but tunamzungumzia Genius kipara huyu jamaa anatunyanyasa sana Games 11 only one ndio tumeshinda!sawa Arsenal kushinda uwezo anao tena Mkubwa but ni kwa Counter attack pekee unamuachia mpira anamiliki mara paap pasi moja ndefu kwa Saka au Martinelli Baaam Goal tunarudi tunajipanga upyaHuko UCL league utaenda kuona , timu nyingi hazina quality asee
Kama tunaweza miliki mpira tukatengeneza nafasi dhidi ya Pep , tukashindwa kufunga huon ni quality ndio inaamuaNakubaliana na wewe kwenye hili,hakuna team yoyote duniani ya sasa hivi atamfunga pep kwa kumiliki mpira
Arsenal Hatuwez kustahimili tukimuachia hasa kipara mpira atamaliza mech mapema na marefa walivyo wajinga na penat watapewaFACT but tunamzungumzia Genius kipara huyu jamaa anatunyanyasa sana Games 11 only one ndio tumeshinda!sawa Arsenal kushinda uwezo anao tena Mkubwa but ni kwa Counter attack pekee unamuachia mpira anamiliki mara paap pasi moja ndefu kwa Saka au Martinelli Baaam Goal tunarudi tunajipanga upya
Hehehehehehe let's wait siku ya leo tutakuja na formation ipi nimemiss sana football [emoji460]️ three months sio mchezo welcome back EPLArsenal Hatuwez kustahimili tukimuachia hasa kipara mpira atamaliza mech mapema na marefa walivyo wajinga na penat watapewa
Pep yupo toka era ya Wenger ,Unai na Arteta ,lazima atusumbue Sana , na Arsenal Hatuwez kubali kubaki Basi , Emery alijaribu hivo akashindwa ,
Arteta alicheza kupaki bas wakat anafika hata vs Liverpool, kwasasa huyu tunaenda nae toe to toe
Angalia progress toka Tuanze kwenda toe to toe na pep , Quality kwenye utumiaji nafas na kumaliza mech , marefa ndio vimekuwa vikwazo
Arsenal sio timu ya kustahimili presha kwa kushambuliwa na kusubiri kaunta
Tuna mchezaji mmoja hasa wa kaunta , Martinelli
Saka sio mchezaji wa kaunta
Mipira ya kaunta wanaweza manjesta ,lakin wakipaki bas wanakula had 6
4-3-3Hehehehehehe let's wait siku ya leo tutakuja na formation ipi nimemiss sana football [emoji460]️ three months sio mchezo welcome back EPL
Kona mmoja wapo atachoma leo😂😂😂Hamtoke leo.
Beki Gabriel(KICHWA CHA BATA) hawezi kuzuia zile force king za Citizen.
Kiungo Partey mla urojo( miguu ya biskuti)
Hivi ikitokea tumemkosa Kudus, hatuwezi kum accommodate zinny pale kwenye LCM kwa baadhi ya game alafu DM wake awe lone Tomas au Rice?? Huku ukuta ukibaki kwa 2:White, 3:Timber, 4: Gabriel na 5:Saliba.Watu wanaongea bila data mkuu...ila mm binafsi naumia sana Zinchenko asipokuwepo kuliko asipokuwepo Jesus....Zinny ana akili nyingi sana
I prefer TrossardKai or Trossard as false 9?
Au nketiah ?
Kumbukizi 2005
Vs manjesta
Tulipiga mpira mwingi Sana , Mechi niliyoanza kumpenda Fundi Jose Antonio Reyes R.I.PView attachment 2710029
Hivi ikitokea tumemkosa Kudus, hatuwezi kum accommodate zinny pale kwenye LCM kwa baadhi ya game alafu DM wake awe lone Tomas au Rice?? Huku ukuta ukibaki kwa 2:White, 3:Timber, 4: Gabriel na 5:Saliba.
Kwahiyo katikati iwe ni hivi 6: Partey, 8: Zinchenko na 10: Odegaard au
6: Rice, 8: Zinchenko na 10: Odegaard.??
Kuhusu mbele Mikel ataamua mwenyewe, maana hiyo Vita ya saka,martinel, trossad,Kai,yesu, na Nketiah lazima wauane.
hamis77 karibuni.
Huyu jamaa yako anawalisha Matango sana sana.Sawa ila sio kwa Arteta vs Guardiola yes we are Arsenal but ukweli ni uwazi tumfunge PEP kwa Kumiliki mpira?hehehehehe tuachage utani kwenye mambo serious ,Real Madrid, Bayern, hata Arsenal hawa wote wamekutana na nyundo za kutosha walivyotaka kumzidi Genius kwenye kumiliki mpira kipara games za Manchester United and Liverpool why unahisi zinakuwaga ngumu kwake ?hata kama atashinda?sababu ni COUNTER ATTACK that's it
Huyo lazima atakuwa GABRIEL(kichwa cha bata)Kona mmoja wapo atachoma leo😂😂😂