Arsenal (The Gunners) | Special Thread

My lineup kwa jumapili

Ramsdale,

Timber
Gabriel
Saliba
White

Partey
Rice
Odegaard

Saka
Trossard
Nelli

4CBs plus Rice awe ana drop chin tukiwa hatuna mpira ,Tutakuwa solid kwenye backline
Hiki kikosi hata kwa UTOPOLO ya Jangwani hakitoki.

Mnafalse hope sana hii timu.
HAMNA TIMU NYIE YA KUPAMBANA NA CITY.
 
Hawa jamaa ni kama kenge.
Huu msimu watadundwa mpaka huu uzi wataomba ufutwe.
 
Nani kasema Liverpool bingwa??
Shida hampendi kusikia ukweli.

Nyie hata mkimaliza top 5 ni bahati sana.
Unaona tunakuchekea unajifurahisha humu,

Squad ya Arsenal unaweza fananisha na wale wazee wako?

Timu mpaka Sasa haina kiungo mkabaji ,£50m kwa Lavia imewashinda unakuja kubwabwaja humu
 
Punguza jazba ,, msijipe matumaini.

Hii timu bado haina quality ambayo mnajipamba nayo humu kwenye huu uzi wenu
Liverpool mna quality gan, pre season mmecheza na matapeli ,mmekuja kucheza na Bayern tumeona mlivyodhalilishwa
 
Game za pre-season zinakutia ulevi
Huna timu bhana , timu imejaa wazee

Last season wakat unadai utapambania ubingwa Niki quote nikakwambia huwez gombania ,ulibisha Sana

Mwisho Europa ikawaita

Msimu huu Hakuna mlichoboresha had sasa
 
Umeona ujipe matumaini

Wewe subiri kucheza Europa Tena msimu ujao

Kama hata kumsajili Lavia hauwez ,unapiga kelele humu za nn
Wewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
 
Game za pre-season zinakutia ulevi
Timu hujaboresha kitu tofaut na last season

Tuliwaambia mmejaza wazee ohoo tunagombea ubingwa ,Kiko wapi

Hata £50m kwa Lavia inawashinda ,unakuja kubwabwaja humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…