Safi....ukilialia watu wanachukua....Inter na Juve wanajifanya wanaijua hela sanaInter kafanyiwa umafia ,Sasa njia nyeupe waje kwa Balogun
() Gianluca Scamacca to Atalanta is a DONE DEAL in a deal worth €25m fixed fee, €5m easy add ons; 10% sell on clause also included.
#Atalanta
(via @FabrizioRomano)
DM tuna watu watatu Partey , Jorginho na RiceCaisedo price tag kubwa...£100 million...Chelsea mpk leo wanavutana na Brighton...Zubimendi nahisi ana kitu kinaitwa home sickness bado hajakuwa tyri kucheza nje ya spain...Lavia naye inaonekana price tag yke kubwa maana hata Liver wanamhitaji sana ila wanaona bei ni ya kupigwa kwhyo wana bargain...Rice anachezeshwa LCM lakini kiuhalisia ni DM...mi naona eneo lenye uhitaji ni RW ila viungo so far somehow tuko sawa...ila with arsenal kitu chchte kinaweza tokea maana hata kipa tumeshtukizwa....kwhyo U never know
Wanhufanya wao ni matapeli Sana , Balogun angekuwa wao ,na Arsenal tunamtaka wagetuuzia €80-90mSafi....ukilialia watu wanachukua....Inter na Juve wanajifanya wanaijua hela sana
Wana matatizo ya kiuchumi sasahv hasa Juve baada ya mabalaa yalowakuta kwhyo hata 40 kwao ni nyng sanaWanhufanya wao ni matapeli Sana , Balogun angekuwa wao ,na Arsenal tunamtaka wagetuuzia €80-90m
Waliwauzia Chelsea lukaku kwa £97m
Mwaka mmoja baadae wakamuhitaji lukaku hawataki kutoka €35m
Walimpata Onana Bure , wamewakazia manjesta bila €55-60m hawauzi
Hakuna timu kichefuchefu kufanya nao biashara Kama za Italy ,
With £100 million on his head ni ngumu sana....Chelsea watamchukua lakini nahisi kwa £90 million plus add ons maana wao ndo wanamuhitaji sana na kibunda wanacho ila natamani sana na sisi tuingilie tumpandishe thamani tajiri miluzi atobokeSijui Kama Ina ukweli ,chanzo ni
Standard sport
Arsenal remain locked in talks over David Raya while looking to offload some deadwood, and a surprise move for Moises Caicedo is on their radar.
bro joginho unamuhesabia kama ni DMDM tuna watu watatu Partey , Jorginho na Rice
LCM tuna Trosaard ,Smith ,Kai na Rice tunapotaka kuwa wagumu Zaid
Kwasasa hatuhitaji DM , Ngumu kuongeza DM atasugua bench ,huwez muweka nje Partey,huwez weka bench £105m
Now ni GK, RW nasikia labda na RCB ,
Nketia ni killer ningependa aanzeHata nketiah kwa kiwango alichoonesha juz wengi wanasema aanze ,japo binafsi napendelea Trosaard au Kai
Hivi huyu Scamacca asingetufaa kwelInter kafanyiwa umafia ,Sasa njia nyeupe waje kwa Balogun
() Gianluca Scamacca to Atalanta is a DONE DEAL in a deal worth €25m fixed fee, €5m easy add ons; 10% sell on clause also included.
#Atalanta
(via @FabrizioRomano)
"Decline rice.Decline rice.
Kwangu mimi siamini kama jamaa ni gifted sana technically.kama unamuangalia rice kwa perspective ya david silva,benado silva,locatell,zubimend,carzola,rosisky ,gundo kroose,camavinga nk ni rahisi kuona tumepigwa.
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini
Liverpool wana hernderson na klop anapambana mara kadhaa kumbakisha babu milner?
Chelsea bora ilikuwa na Terry na lampard
Man city imemleta jack glealish,stones na sasa kuna foden.hawa wote technically sio wachezaji wa guardiola.
Hao wote wana sifa moja inayowaunganisha,ni waingereza.
Waingereza wanatabia ya upambanaji hasa bila kujali wanakipaji au hawana ila watapambana kupata wanachotaka.
Mwingereza anaweza asiwe bora ila akaamini yeye ni bora kuliko wewe na akakushinda.
Waingereza wanaamini kwenye hard working kuliko kipaji.they give it all to preserve their pride.na kwa timu inayohitaji kupambania mataji hii akili na tabia ni muhimu saana.guardiola aliliona akaleta waingereza and it paid.
Decline rice.mwangalie body language yake na umri wake haviendani.ana seniority body language.anaamini anastahili kilicho bora na anaamini anacho kilicho bora cha kuoffer.
Decline rice.Angalia statement zake haamini kama kuna team bora kuliko aliyopo,hakuna kocha bora kuliko anayemfundisha na kikosi chenye wachezaji bora kuliko wanaomzunguka kwa sasa. Hii inaondoa inferior feelings na inaimarisha self esteem yake.Mbishi hasa.
Check anavyohandle media na expectations zinazotokana na price tag yake, Its like I don't care.Price tag imemmaliza pepe,inamtesa mudrick na inamyoosha nunez pale Liverpool .
Mwangalie glealish,hata hakumbuki alinunuliwa kiasi gani.its none of his business anahisi alistahili.Rice ameonyesha kuhandle presha.
Mimi natarajia kumuona rice kuanzia february na hapo kila mmoja atajua thamani ya roho ya kiingereza hasa hawa WEUPE NOT BLACKS.
Mpeni muda decline rice,sio mech kadhaaa,wiki kadhaa au mwezi.mpeni muda awaaambukize tabia ya ushindi.

Mkuu toobiter kwanza nikiri kabisa kua wewe miongoni mwa mashabiki wachache wa Arsenal ambao hua nawakubali sana wanapochambua mpira humu bila ya kuweka mbele ushabiki wa timu, hongera sana kwa hilo. 

tokea kufariki kwa Malkia Elizabeth waingereza ni kama wameamua kwa pamoja kujikatia tamaa.Mkuu Maguire mmemuharibia nyie kiwango chake usitake kumsingizia..nyie ndo mmem flopisha kwa kumpa presha na price tag yake...hlafu kile kilichopo old Trafford pale ni kikundi cha wakimbiaji sio wacheza mpira ulitegemea yy acheze mpira gani...Captain fantastic Maguire akipata timu nzuri inayotandaza soka mtaona ubora wake"Decline rice.
Kwangu mimi siamini kama jamaa ni gifted sana technically.kama unamuangalia rice kwa perspective ya david silva,benado silva,locatell,zubimend,carzola,rosisky ,gundo kroose,camavinga nk ni rahisi kuona tumepigwa.
Mimi natarajia kumuona rice kuanzia february na hapo kila mmoja atajua thamani ya roho ya kiingereza hasa hawa WEUPE NOT BLACKS."
Mkuu toobiter kwanza nikiri kabisa kua wewe miongoni mwa mashabiki wachache wa Arsenal ambao hua nawakubali sana wanapochambua mpira humu bila ya kuweka mbele ushabiki wa timu, hongera sana kwa hilo.
Ila suala la kupigwa kwenu kwenye usajili wa Decline Rice hilo liko wazi kwa kila shabiki wa Arsenal ila kinachofanyika ni kupakapaka rangi ionekane ni sawa.
Kuhusu suala la kujituma kwa roho za kiingereza ni kujipa matumaini ya bure tu, hayo mambo yaliishaga kwenye kizazi cha kina Gerrard, Lampard, Terry na Rooney.
Ingekua ni hivyo tungeiona hio roho ya upambanaji kwa Le Captain Harry Maguiretokea kufariki kwa Malkia Elizabeth waingereza ni kama wameamua kwa pamoja kujikatia tamaa.
Kumbuka pia jinsi hayo magoli yalivyofungwa.
La kwanza, mpemba Rashidi alipiga move kali na shuti amazing la nje ya box akapata goli.... against the run of play. Na kama sikosei, Chidi ndiye alikuwa mchezaji aliye mbele zaidi Kwa Manyumbu, huku wengine wamepaki basi Kwa hofu kubwa wakijiandaa kujilinda na shambulio tulilokuwa tunawapelekea, hivyo hakuwa na msaada. Tukapoteza mpira, mpemba akafanya yake. Lilikuwa goli Bora sana Kwa kweli.
La pili ndilo lilifungiwa ndani ya box. Na lenyewe pia lilikuwa la kimiujiza miujiza hivi. Yaani Kona imepigwa, ikawa cleared kidogo tu ndani ya box, tukaanza kujipanga kupiga counter moja hatari sana, mara akatokea Martinez na diving header ya mpira ulio kima Cha mbuzi, mpira ukarudi juu na ku-loop. Golini Gabriel almanusra auokoe ila ukamchuna kichwa kidogo na kuingia wavuni. Bahati juu ya bahati.
Nakumbuka pia goli la Saka lilitokea nje ya box. Hata shangilia yake ya kukimbilia corner flag kuweka kidole kichwani, aliifanya kumjibu Rashidi ambaye awali alishangilia hivyo goli lake.
Naona hizi takwimu zinatuonyesha tu kuwa sisi tulikuwa hodari Kwa kutawala mashambilizi na yalitufikisha sana ndani ya box ila nyie mlikuwa vizuri kuyazuia na kupona chupu chupu. Nyie hamkutawala sana mashambuilizi hivyo hamkuingia sana ndani ya box ila mlipata magoli mawili mazuri sana ya kubahatisha.

Uzuri wa Asenyo mbele ya Man Utd ni kama binti kigori msumbufu yule wa sitaki nataka, ila unapoanza kumpitishia ulimi taratibu kwa shingo yake, anaanza kulegea na kichwa yake mwenyewe anailekelza kibla. Ongea nao bodi ya ligi wabadilishe tuanze mechi ya kwanza na nyny...Uzuri wa Asenyo mbele ya Man Utd ni kama binti kigori msumbufu yule wa sitaki nataka ila unapoanza kumpitishia ulimi taratibu kwa shingo yake mwenyewe analegea na kichwa yake mwenyewe anailekelza kibla.
Hivi kwani sisi na nyinyi lini jamani?
Mpaka mechi ya 4 mbona mbali sana kwani hatuwezi kuomba ratiba ibadilishwe tukutane kwenye mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa Epl?
Hao wote kina Rice ,Partey na Jorginho wanacheza Hilo eneo la DM , Kama lone ,hujamuona mech ya juzi na Monaco pass alizokuwa anapiga ?bro joginho unamuhesabia kama ni DM
"Decline rice.
Kwangu mimi siamini kama jamaa ni gifted sana technically.kama unamuangalia rice kwa perspective ya david silva,benado silva,locatell,zubimend,carzola,rosisky ,gundo kroose,camavinga nk ni rahisi kuona tumepigwa.
Mimi natarajia kumuona rice kuanzia february na hapo kila mmoja atajua thamani ya roho ya kiingereza hasa hawa WEUPE NOT BLACKS."
Mkuu toobiter kwanza nikiri kabisa kua wewe miongoni mwa mashabiki wachache wa Arsenal ambao hua nawakubali sana wanapochambua mpira humu bila ya kuweka mbele ushabiki wa timu, hongera sana kwa hilo.
Ila suala la kupigwa kwenu kwenye usajili wa Decline Rice hilo liko wazi kwa kila shabiki wa Arsenal ila kinachofanyika ni kupakapaka rangi ionekane ni sawa.
Kuhusu suala la kujituma kwa roho za kiingereza ni kujipa matumaini ya bure tu, hayo mambo yaliishaga kwenye kizazi cha kina Gerrard, Lampard, Terry na Rooney.
Ingekua ni hivyo tungeiona hio roho ya upambanaji kwa Le Captain Harry Maguiretokea kufariki kwa Malkia Elizabeth waingereza ni kama wameamua kwa pamoja kujikatia tamaa.

Pep Guardiola on Declan Rice:Sasa ulitegemea amponde mbele ya camera?Pep Guardiola on Declan Rice:
“Arsenal bought an incredible, incredible player.”
(Source: @standardsport)
Wapi nyuma ya camera alimponda?Sasa ulitegemea amponde mbele ya camera?