Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Halafu unaweza Kuta hiyo add ons yenyewe masharti yake ni magumu kwelikweli...unaweza Kuta inasema afikishe goli kiasi flani kwa misimu kadhaa hta wakti mwingine na ubingwa juu....yaani add ons huwa siyo hela ya kuhesabia kbsa
Nilipenda add-on ya City kwa mchezaji waliyemchukua Leipzig; wanataka mechi moja Kati yao na mapato yote yaende Leipzig
| Pep Guardiola on if Arsenal strengthened this summer: 


Auba:




️
#Inter