hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
[emoji599][emoji599]
Fabrizio Romano
David Raya tayari ameshasema ndiyo kwa Arsenal siku chache zilizopita, upendeleo wa mchezaji huyo ulikuwa Arsenal kuliko kuhamia Bayern.Kwa nini? Kwa sababu Bayern ilitoa mkataba wa mkopo na mchezaji anataka kitu tofauti,” [emoji2788] “Anaitaka Arsenal.
Raya na Arsenal wana makubaliano juu ya mkataba huo, sasa Arsenal wanatakiwa kufikia makubaliano na Brentford kuhusu David Raya.
Hili ndilo jambo muhimu sasa na mazungumzo yanaendelea. Wacha tuone jinsi Bayern watafanya. Kwa sasa mazungumzo ya Raya na baryen yamekufa, lakini hatujui lolote linaweza kutokea katika soka.”
[emoji599][emoji837][emoji836]