Kama ni hivyo Arteta nae asijifiche kwenye chaka la phase 5, kwa kikosi alicho nacho na muda ambao amedumu kama kocha hapo Arsenyo kuanzia msimu ulioisha ulikua ni sahihi na muafaka kwake kuchukua kombe kuliko misimu mingine yoyote.
Yaani msimu ambao Arsenyo ilikua bora kuliko misimu yoyote kwa miaka zaidi ya 20 ameshindwa kubeba hata kombe la mwanaFA halafu mnakuja kudanganyana hapa.
Msimu wa 2021/2022 ndio walau utasema Aseno ilikua bora maana walau walipata kombe la FA.
Msimu unaofata muambieni kabisa akimaliza bila ya kubebe kombe anatimuliwa.
Hizo fezi zake anazitumia kama ngao ya kujilinda kila anapomaliza ligi mikono mitupu.
View attachment 2706118