Yule dogo ilikuwa aende mancity , Chelsea wakaparamia kuhijack lile deal ,nakumbuka humu wanaokumbuka watasema ,tuliwekaga stats zake na Nuno Tavares ,walikuwa hawapishani kabisa ,Kuna mashabiki walidai kwanini Arteta anaenda kwa Lisandro au Zinchenko badala ya huyo Cucubera
Pep aliweka waz kabisa hatoi Zaid ya £40m , Chelsea aka hijack deal akapigwa £62m , leo wanatafuta wa kumuuzia
Deals zote walizohijack zimebuma
Mpira una njia na taratibu zake ,unasajili kwa ajili ya kufit system sio sababu Mchezaji ni mzuri tu