Huyu Di Natale ni hatari sana, anaweza kurudisha goli na wakaamua ku-settle for a draw na hio itakuwa ni major drawback.
Cha kushangaza Alex Song anakwenda mbele wakti yeye ni holding midfielder. Matokeo yake mashambulizi ya hawa jamaa yanakkuwa yakiongezeka kila mara.
Johan Djourou anaonekana kama anachechemea isije ikawa ni msuli.