wAnakwambia Mudryk ni flop?! wakati tokea aende chelsea hajawahi kucheza hata dk.30 ndani y dk. 90. Ila Havetrz aliyepewa dk.90 game zote chelsea na akacheza utumbo. kwa vile ameenda Kw makondoo wanakwambia ni talented😂😂Mudryk is far better kwa kai , hakuna hata mmoja hapa anaepinga chelsea last season ilikua mbovu na mudryk kaenda blues january.
Mudryk the way anavyocheza unaona kabisa huyu dogo anakila kitu tumemuona akiwa shakhtar kwenye UEFA alikuwa[emoji91] hata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.
Huyu mudryk kipindi kile anatakwa na arsenal watu walikua wanasifu sana mara ooh ni neymar mpya nashangaa now vijana wanaponda tu kisa kaenda chelsea , ushabiki wa kitoto sana huu .
Mudryk na kai still mudryk ni far better kwa kila kitu naamini this season tukipata muda tutarudii tuone nan kafanya vizuriii zaidiii . Flop ni pale unapopewa chance na haufanyi chochote nembu tuonyeshe u flopp wa mudryk hata kwa kutaja game 1 tu ya zilizopita