Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta akizungumzia kuwekwa kwa sanamu ya Wenger:

"Ni heshima kubwa kwamba klabu imefanya kitu maalum kwa Arsène ambacho anastahili kikamilifu na anastahili.

Uwepo wa sanamu yake sasa kwenye uwanja wa Emirates, Arsène anaweza kutambuliwa hivyo na kuwa hapa kwenye klabu yetu milele. Ninashukuru sana kucheza chini ya Arsène katika klabu hii katika maisha yangu ya soka. Alinichagua kuwa mmoja wa wachezaji wake na aknichagua kuwa nahodha wa klabu hii na hilo ni jambo ambalo sitalisahau.”
20230728_162955.jpg
 
Wenger went through the pain of selling all his best players, whilst paying for a stadium and got Arsenal into the CL for 20 years straight

All of this is possible because of him[emoji24][emoji173]
20230728_164741.jpg
20230728_164744.jpg
 
#Arsenal have offered Sambi Lokonga [emoji1045] to Roma [emoji102] [ @Gazzetta_it ]
 
Naomba hili dili likamilike

£34m(€40m) for Nketiah
£45m(€50m) for balogun

€90m- €100m , unampata CF gani sokoni wa maana?

[emoji599] || Crystal Palace are reportedly planning a £34m bid for Eddie Nketiah

[Via - @Football_LDN].
Nketia hapana dogo ni mzur ni bado hajaaminiwa tu
 
Unapopular opinion

makaveli10

Jesus is better than 90% of the strikers the fanbase begs for.
Kwangu jesus ni the best.. kama si majeruhi msimu uliopita angetisha zaidi.. jesus ni bora akiwa na mpira na pia asipokuwa na mpira, anashambulia tokea popote, anacheza na timu, anatengeneza nafasi, anakaa na mali mguuni.
Hakuna mwenye sifa zote hizo kwa pamoja kwa hao ambao mashabiki wanawataka.
 
Aisee Kuna neno Arteta analitumiaga anasema he create chaos

Angalia vs Barcelona juzi ,kawatoka watu pemben kule kushoto akamuwekea Saka afanye tap in ,Mimi namkubali Sana

CF wengi wanacheza ile kusimama hawatakupa advantage ya kutengenezea wengine nafasi,

Jamaa ndio anamfanyaga Martinelli awe hatari maana huwa wanabadilishana position

Alikosa miezi mitatu EPL,na alifunga goals 11

Mm naamin akiwa fit Kuna 20 goals
 
Martinelli aftr world cup(majeruhi ya gabi) alipwaya.
 
Nicolas Pepe atengwa na Arsenal

Nicholas pepe alionekana akifanya mazoezi peke yake baada ya Arsenal kumuacha kwenye safari ya maandalizi ya msimu mpya.

Arteta alisema hayuko katika mipango yake msimu ujao.

pepe alicheza mechi 112 Arsenal akafunga mabao 27.Amehusishwa na timu za Saudi ila ameweka mahitaji makubwa

Alikuwa amevaa bukta la Angers Fc

FB_IMG_1690558804223.jpg
 
View attachment 2701525
Wiki hii inayokuja naamini kutakuwa na massive clear out...maana tunahitaji kuongeza watu kama wawili bdo
 
De Bruyne, Salah walikua flop walipotoka
Nani alikwambia salah na de brune walikua flops?! wale ni hawakupewa tu chanse ya kuprove, ni sawa na nyie mnavyolazimisha kuwa mudryk ni flop wakati hajapewa hata chance, kisa tu aliwatosa.

Huyo Havertz amepewa kila aina ya muda wa kujitetea lakini bado alikua mzigo, Ingekua mudryk ndio kapewa mch tym kama aliyopewa Havertz hat msingekua na lakuongea.
 
Usilishe watu maneno , Ubora wa Jorginho unajulikana ,Talent wise ya Kai inajukikana ,

Thiago Silva ,James , hata Sasa Enzo ana quality , Chillwell , hao wanacheza timu yoyote ya top 6

Ila Wachezaji wabovu Kama Cinderella,Sterling, mudiriki, madueke, n.k hata sub hawaingii
Kama Mudryk ni mbovu mbona master class wenu of failure, alimtaka?
 
Kama Mudryk ni mbovu mbona master class wenu of failure, alimtaka?
Mkuu kweli unasoma tunachoandika?

Tulimtaka Kama backup, kuongeza upana wa kikosi

Saka au martinel, hapo Mudryk angehitaji misimu miwili ya kugombea

Backup kwa €100+?
 
Kwangu jesus ni the best.. kama si majeruhi msimu uliopita angetisha zaidi.. jesus ni bora akiwa na mpira na pia asipokuwa na mpira, anashambulia tokea popote, anacheza na timu, anatengeneza nafasi, anakaa na mali mguuni.
Hakuna mwenye sifa zote hizo kwa pamoja kwa hao ambao mashabiki wanawataka.
Nakubaliana na wewe,mimi sitaki hata Jesus afunge,nataka acheze kama anavochezaga,mabeki wachache sana wanaweza kumkaba JESUS,na safari hii anamwili wa kupambana zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom