Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gervinho and Song given three-match bans for Newcastle riot.
 
Emmanuel Ebue nae yupo nchini Uturuki akifanyiwa uchunguzi wa afya yake (medical) kabla hajasaini kuchezea timu ya Galasaray.

Wawakilishi wa timu hiyo wapo mjini London kujadili malipo ya usajili huo.


Emmanuel Ebue akiwa kwenye kituo cha Afya nchini Uturuki kiitwacho Medical Park.

Habari zaidi, baadae.
 

Well said Mbu ila nina naaomba niongeze mambo mawili matatu apo juu.

Mafanikio ya timu pamoja na mambo mengine yanahitaj long time investment ambayo inaenda sambamba na ku retain best players, top players wa EPL kutaka kwenda spain hajaanzia na Fab au Nasri au CR; N wengi na kitambo, cha msingi hw do u contain their ambition zao kwa mda ili huku ukitafuta plan B....apo sijaongelea uwezo binafsi wa kocha kuwashawishi wachezaji kubaki katika klabu kitu ambacho AW sidhan kama ameweza, when he is under just a small pressure basi anamwachia player, tena ktk dieing minutes na kwa hasara, fab hakuwa na kuuzwa bei ile bana let alone sion mkipata perfect replacement wake.

aw should learn to NURTURE youngers HUKU KEEPING his top players, kwa sbb ana kila rasilimalmali (pesa, hisstory etc), unles azawiz mtabak wasindikizaj, sihitaj kuwa shabiki wa asenol kukerwa na mwenendo wa timu yenu as ushinda wa epl utaletwa na timu yenu kuwa the best pia.

nakimbia jaman folen ya mafuta..kwaher!
 
Arsenal to play Udinese.

Szczesny, Sagna, Vermaelen, Koscielny, Gibbs, Song, Ramsey, Walcott, Rosicky, Gervinho, Chamakh

Subs- Fabianski, Oxlade-Chamberlain, Djourou, Arshavin, Jenkinson, Frimpong, Bendtner.


Thomas Rosicky anacheza kiungo namba 8, Walcott anacheza badala ya Andrey Arshavin na Chamakh anacheza nafasi ya nahodha Robin Van Persie.

Timu leo inaongozwa na nahodha msaidizi Thomas Vermaelen.
 
Nae Emmnuel Ebue amesajiliwa rasmi na timu ya Garatasaray ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne wenye thamani ya paundi milioni 3.
 
Gervinho and Song given three-match bans for Newcastle riot.

Wameua sana hapo, ukitegemea mechi zinazo fata tunacheza na wapinzani wetu. jamaa noma sana.

Song pengo lake litazibwa na Frimpong, na Gervinho naona bora dogo Chamberlain apewe tu nafasi tumuone.

Huku dua zote ziende kwa Wilshere apone haraka , huyu ndio pengo lake kubwa sana sasa hivi.
 
Safi san Walcott, Wenger alikuonea kukuanzisha kwenye benchi game ya New Castle, hajui kama anakuhitaji sana msimu huu.
 
Wapenzi wa Arsenal tuna imani na Aaron Ramsey.

Anapewa mpira akiwa pembeni mwa uwanja na anatia mpira wa cross unamkuta Theo Wacott ambae anamalizia kiulaini kwa kuukwamisha mpira wavuni mwa Udinese.

Goli limefungwa dakika ya 5.
 
Safi san Walcott, Wenger alikuonea kukuanzisha kwenye benchi game ya New Castle, hajui kama anakuhitaji sana msimu huu.
Kwa finishing Walcoltt mzuri ila matatizo yako supply, krosi zake mara nyingi zinakuwa mbovu na huwa ana tabia ya kuchelewa kufanya maamuzi sahihi
 
Song unaenda na mpira mpaka wapi? Naona lazima tupate kiungo ambaye anaweza ku-shoot kutoka nje ya box.

Wenger ndio amewakataza ku-shoot nje ya box, hata umlete nani hapo anakuja kubadilika anakuwa kama hawa. Noma sana. Wenger anataka wapigiane pasi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…