Timu mnayo nyie Arsenal.Huu ujinga mnajidanganya mna timu ,tupo hapa
Tumepigwa 2 kwa zero na penalties tumelose what does it mean?yes ni friendly game but pia ndio inatakiwa userious uonekane hapo Ramsdale kwa penalties ni paka na panya kiujumla tumezidiwa na bado team haijakamilika August 6 vs Manchester City kwa squad hii unaona tutatoboa?even kwenye EPL and champions league?OK let's wait and see na problem ya baadhi ya fans ni kujiona wao football️ wanaijua sisi wengine tunakaa na kushangaa is it true kuwa tupo tayari kucompete na giants?unabaki unacheka tu jana Manchester United ni kipimo sahihi sana kwetu zaidi ya sana licha ilikuwa ni friendly tu
Una vitu vingi vya kujifunza kwenye football hasa nje ya possession football.ni wachezaji wawili au mmoja tu ndio anweza kuingia first eleven ya Arsenal
Muda utaongea Mimi hata top 6 siwaoni mkiingia
Kama ile mech imewadanganya Basi mnakazi Sana
Last season pale OT mlivyoshinda nilisema tumecheza hivi makosa ya refa na makosa binafs ya Lokonga , ndio yaliwapa kiburi ,but tutashinda mech nyingi mbele na ndicho kilitokea
Mimi sio shabiki wakuishia kuangalia matokeo tu
Kushinda Jana ni sawa na kunguru kumnyea binadamu
Two own individual errors
Wapi nimelazimisha timu zote zicheze hivo?Una vitu vingi vya kujifunza kwenye football hasa nje ya possession football.
Unalazimisha kila timu ifanane uchezaji na Arsenal. United toka miaka hiyo hatuchezi mpira wa furahisha genge. Tusipocheza transition football basi tutapiga counter attack, pasi mbili tu tunabadilisha matokeo.
Hizo individual errors ndiyo zinahitajika ili timu ifungwe, Heaton kupiga mpira kwa Mainoo pasi hadi kwa Bruno siyo miujiza kuwa ilitokea tu au goli la pili mabeki wenu walifanya makosa na siyo kwamba Sancho alijikuta tu kwenye nafasi ya kuchukua mpira kimiujiza. Jifunze kutoa credits hata kama siyo timu yako iliyoshinda. Last season OT mlifungwa kwa kuzidiwa mbinu usitafute vijisababu.
Wewe kawaida yako ni ubishi na upo deluded hutaki timu yako ikosolewe.
Kabisa maana pale Kocha ndio anaelewa combination gan ianze na ipi inafaaKwa mtu anayejua mpira, that was a good result at this stage of preseason, otherwise we would have been carried away with complacency
Kuna wakati unakuwa na hoja ila prizentesheni ya kizaramo inakuponza mkuuNi ujinga huu huu ulimfanya Hamis ajiaminishe kwamba wakienda Anfield watampiga Liverpool endapo akicheza mpira wa kupishana nao, mwisho wa siku mkaambulia sare.
Ni ujinga huu huu ulimfanya Hamis atambe kwamba wakienda Etihad watampiga Man city afu watangaze ubingwa, kilichotokea almanusura wapigwe 6 au 7.
Hatukatai kwamba Arsenal ni bora, lkn hiyo haizuii timu nyingine kuwa bora.
Arteta kuwa kocha mzuri au kuwa na mbinu nzuri haiwafanyi makocha wengine wasiwe na mbinu.
These are two independent events
Sasa MC Masingeli anazunguka majukwaa yote kukebehi makocha wengine
Sahihi.no matter how good are they,kuna muda ile killing instinct inakosekana na hiki kitu kifanyiwe kazi saaanaFACT ukiangalia squad yetu sio mbaya tatizo kubwa naloliona ni FOCUS na huwa inatokea kwenye baadhi ya games for almost 4 years in a row hili limekua ni tatizo kubwa sijui ni kwa nini hasa kwenye Mid ,Defence na Goalkeeper kuhusu forwards zetu sina shaka nazo kabisa kabisa mf Gabriel Ramsdale Zenny White Partey hawa ni 11st eleven wetu ila concentration huwa ni tatizo tusipotibu hili tatizo hata kwa formation tofauti yatajirudia yale yale!
Rice ile nafasi anahitaji afanyiwe adjustment kidogo, hata Partey ilimchukua mda kuimaster iyo nafasi kwa sasa itabidi twende na double pivotRice akiwa lone DM arsenal jiandaeni kupokea kichapo.
Anaweza kujichukulia ile LCM akikomaaKwenye game ya jana viko vitu vingi positive kama vile SMITH ROWE,naona anaweza kuja kuwa asset nzuri sana
Sawa.Wapi nimelazimisha timu zote zicheze hivo?
Yaani kushinda pre season umeshaona tayari mna timu ya ubingwa?
Kuna mwaka gan pre season mlifungwa nyie
Tumeona mlikamia kutaka kuvunja had wachezaji wetu
Mimi narudia manjesta wachezaji wanaoweza kuingia Kikos cha Arsenal hawazid wawili au mmoja
Time will tellSawa.
TAarifa njema hii
Siokweli kwamba tulimu underestimate,Mpira wa siku hizi unahitaji nidhamu... Nidhamu ni kitu kikubwa sana
"You underestimate your opponent then be prepared to be humbled"
Hii haizuii chelkenge kutogombania kushuka darajaDeklan mchele tumepigwa pale