Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
<br />As Fulham Vs S'land so as Arsenal Vs N'Castle.....Bado finishing ni tatizo... Gevinho is Good though kwenye finishing bado ni mbovu... Anahitaji muda kuzoea EPL na anahitaji kupunguza hasira......Ramsey looked good katikati... Song still Soilid... Verminator and Cos wameonyesha kiwango kizuri they can create a nice pair though we need back up yao nzuri......To AW need to buy two players a FINISHER and a CB....Thanx wadau kwa umoja wenu na ushirikiano katika jukwaa hili... Nakaribisha Kshfa na dhihaka kutoka kwa watani.....
Wacha kulia lia kila msimu kisingizio chako ni icho icho tu....!!Kwani mlipotoa bahasha mlitegemea nini tufungwe? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee[/COLOR]
Kibaoa cha Drogba alichompiga Vidic na cha Gervinho kinatofauti gani? Labda refa kajumlisha yellow ya kudive na ya kibao. Wenger amesema he's likely going to appeal.Pamoja na kwamba Gervinho alidive....Ukweli ni kwamba Refa alikurupuka kutoa ile red card......Nadhani akiangalia video replay na kuona jinsi Barton alivyomnyakua Gervinho atajisikia vibaya sana......Kulikuwa na haja ya Refa kuzungumza na wasaidizi wake kwanza kabla ya kutoa ile Red maana wakati Barton anamnyakua Gervinho Refa alikuwa anaangalia upande mwingine kabisa...
Halafu ile sio ngumi wala nini,Gervinho kamgusa tu Barton naye akajiangusha na kuanza kuugulia maumivu.....lol
Tutafika tu.......
Wacha kulia lia kila msimu kisingizio chako ni icho icho tu....!!
Gervinho is a diving girl!Wacha ngebe ulisema Gerv ame-dive na replay zote zinaonyesha kwamba alikwatuliwa, chacha nani anaelialia kama kasuku? Yaani hata hilo la draw linawauma. Tunafahamu kila mara mnatembeza bahasha lakini zitawatokea puani khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nilisema? Kasome tena post yangu niliuliza "Gervinho naye diver?" Wacha kelele msipoangalia keshokutwa mtatolewa kwenye champions league.Wacha ngebe ulisema Gerv ame-dive na replay zote zinaonyesha kwamba alikwatuliwa, chacha nani anaelialia kama kasuku? Yaani hata hilo la draw linawauma. Tunafahamu kila mara mnatembeza bahasha lakini zitawatokea puani khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Huu ni upuuzi kamanda huwezi sema kupoteza captain na influential player kama Nasri eti hakuna pengo! Unajidanganya mazee this is only a wankers ideology ...! Mtachechemea sana kwenye ligi. Kusajili watoto ni tatizo!! kwenye ukweli uweke wazi ! Mnahitaji beki four wa kueleweka Jagy, Scott AMA Garry na kiungo mmoja mzoefu....pheeewwwwwww!!!!!, kudddddaaaaadddeki wallahi!....tume draw kelele hivi, tungewafunga ooohh mmewaonea...haina noma wala nini,....Clean sheet ugenini...point moja kibindoni! Tugange yajayo. Hakuna cha pengo la Nasri wala mama yake Fabregas...nawashangaa wanaowaombolezea hawa jamaa, What's wrong with you people? Life has to go on bana ....WE ARE THE GUNNERS, Together we stand!
Ni ukweli usiopingikaHuu ni upuuzi kamanda huwezi sema kupoteza captain na influential player kama Nasri eti hakuna pengo! Unajidanganya mazee this is only a wankers ideology ...! Mtachechemea sana kwenye ligi. Kusajili watoto ni tatizo!! kwenye ukweli uweke wazi ! Mnahitaji beki four wa kueleweka Jagy, Scott AMA Garry na kiungo mmoja mzoefu
Home B...........Kuna faida gani ya kuendelea kuwa na Fabregas,Nasri & co?.......Binafsi sijaona faida ama la maana lolote waliloleta Arsenal kiasi cha kuendelea kuwang'ang'ania waendelee kuwepo Arsenal ama kusikitika kuondoka kwao....Huu ni upuuzi kamanda huwezi sema kupoteza captain na influential player kama Nasri eti hakuna pengo! Unajidanganya mazee this is only a wankers ideology ...! Mtachechemea sana kwenye ligi. Kusajili watoto ni tatizo!! kwenye ukweli uweke wazi ! Mnahitaji beki four wa kueleweka Jagy, Scott AMA Garry na kiungo mmoja mzoefu
Hujakosea hata kidogo mkuu...Humu tunabwabwaja tu,
Wenger Knows!
Tumwache afanye what he feels its right.
Huyu AW.......Ubahili wake unamfanya azidi kukera kwa kigeugeu.......aaaaaaaaargh