hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,253
- 26,641
Sisi haoooo
Kipa la boli a.k.a ukuta wa berlin.
Onana mmoja ni sawa na RasMadale 1000
Unaambiwa sio kudaka tu mpira bali ana uwezo wa kudaka mpaka matatizo yenu ya familia Kima nyie.
Onana kashamwambia Ten Hag hapo nyuma hataki kucheza na beki yoyote, mabeki wote wapande juu wacheze midfield, hivyo mjipange msimu ujao tunachezesha midfielders 6 halafu mipira yote ya kona na adhabu amesema ni jukumu lake.
Bado kuna Sufyan Amrabat na striker la magoli Rasmus Højlund wanatua wiki ijayo.
Msimu huu tusiporudia kumpiga tena mtu goli 8 niulizwe mimi. View attachment 2695133View attachment 2695134View attachment 2695135


mwanangu unazingua asee, hivi mnategemea kushindana na viungo kina casemiro anayejinenepea halafu mabos wenu hawana muda wakutafuta mbadala sahihi Casemiro anawapa matumaini mtagombea ubingwa
Cha ajabu ana miaka 30+
Hamna mbadala wake sahihi na Sion mkimpata
Huyo amrabat siku zote alikuwa wapi , yaan form ya mech 3 Kati ya 8 world cup ndio inawadanganya
Ulishajiuliza kwann ana miaka 26 lakin bado hashobokewi na Bei yake haizidi £40m ,unadhani angekuwa mzuri had Sasa timu zinazotaka DM zingekuwa zimemuacha tu
PSG want Nuno Tavares to replace Juan Bernat and give competition to Nuno Mendes, who’s been injured. 