Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Huyo Rice jinsi anavyopambwa na mashabiki wa Arsenyau utafikiri hapo kwenye squad yao hakuna mchezaji bora kuliko yeye.Arteta kuhusu Rice -
"Ninamuona kama taa, kwamba yuko tayari kuweka mwanga kwa wengine na kuboresha wengine na kuifanya timu kuwa bora ,"
"Kwangu mimi, kuwa kiungo lazima uwe hivo na anavyo kwa asilimia 100.
Jinsi anavyozungumza na kujionyesha, nia aliyonayo na shauku kuelekea mchezo. Hiyo ndiyo hasa tuliyohitaji.
"uongozi wake, aura yake, uzoefu ambao tayari anao katika ligi atakuja kuleta katika timu "
View attachment 2691256
Tunasubiri aje kuwasuprise ligi ikianza.