Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,064
- 2,439
Ina maana Mchango wa Jack Grealish msimu uliopita hukuuona au mwenzetu unaangalia mechi za Arsenal tu. Jack Grealish alikua mchezaji muhimu msimu uliopita kwenye kikosi cha Manchester City. Yaani nimekupuuza ulimpofananisha Super Jack Grealish na Pepe.Mafanikio ya timu ndio unayazungumzia wewe ,hapo nazungumzia individually
Takwimu za Grealish bado haziridhishi ,huo ndio ukweli
Kumbuka Foden muda mwingi amekuwa injury ,
Mafanikio ya jumla kwa timu ndio yamefanya wengi muone Jack kaperfom Sana ,ila ukweli kwa Bei aliyonunuliwa bado Sana ,
Sikuwahi kuamini Ferran Torres ni Bora Sana ,niliamini Barca wametapeliwa ila sababu ya mafanikio ya city alionekana bonge la mchezaji
Mafanikio ya timu yasikufanye umuone alikuwa na mchango mkubwa , Kuna watu Wana mchango mkubwa Sana ,Ina maana Mchango wa Jack Grealish msimu uliopita hukuuona au mwenzetu unaangalia mechi za Arsenal tu. Jack Grealish alikua mchezaji muhimu msimu uliopita kwenye kikosi cha Manchester City. Yaani nimekupuuza ulimpofananisha Super Jack Grealish na Pepe.
Nakufatilia na kukubali sana michango yako lakini leo kwa hili la Grealish umetoa boko. Grealish huyu aliyeuwasha au kuna mwingineMafanikio ya timu yasikufanye umuone alikuwa na mchango mkubwa , Kuna watu Wana mchango mkubwa Sana ,
Nimekuwekea namba zake hapo , bado mapema Sana kumtoa kwenye kundi la wachezaj flop , narudia mtenge na mafanikio ya timu ,
Kwa namba zake hizo hizo muweke hata manjesta, automatically mtasema ni flop
Nakupa homework ,ujue mafanikio ya timu yamefanya umuone Kama ka perform Sana , ila kwa takwimu hizo hizo na Bei yake ya £100m mpeleke timu nyingine , Kama hutaambiwa MMEPIGWANakufatilia na kukubali sana michango yako lakini leo kwa hili la Grealish umetoa boko. Grealish huyu aliyeuwasha au kuna mwingine
Pepe ana namba nzuri za GA kuliko Sancho piaNakupa homework ,ujue mafanikio ya timu yamefanya umuone Kama ka perform Sana , ila kwa takwimu hizo hizo na Bei yake ya £100m mpeleke timu nyingine , Kama hutaambiwa MMEPIGWA
Huyu dogo akiwa kwenye ubora wake ni mtu na nusu!.. majeruhi yamemridisha nyuma sana!.. mwaka huu Kuna watu atawakalisha benchi pale Arsenal. Huyu dogo ni mfungaji hatari kabisa!..Huyo Smith Rowe ndiye mchezaji ball carrier kuliko yeyote Arsenal ,anajua ku Carrie mpira anajua kufanya one two kwa haraka Sana , shooting accuracy yake ni nzuri
Mkuu wanaojua mpira ni wachache sanaNakupa homework ,ujue mafanikio ya timu yamefanya umuone Kama ka perform Sana , ila kwa takwimu hizo hizo na Bei yake ya £100m mpeleke timu nyingine , Kama hutaambiwa MMEPIGWA
Tuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,
Akipaki Partey ,nakuhakikishia Castr tutatoa vipigo Sana ,
Maana huko FA unaweka Jorginho , EPL unaanza na Rice Partey Øde, Jumanne UCL unacheza na Kai Rice Øde
Wachezaji hawachoki na quality inakuwa juu
Kuna factors naziona zitatu favor, moja city hawez kuwa Bora zaidi coz anawapoteza mahrez ,Bernado, Gundo,Walker , Laporte, na fitness ya KDB imeanza kuwa tatizo ,
Liverpool ambaye anaonekana anarejea tayari kashaanza kujipiga risasi , ameondoa watu 6 ,Hadi sasa kasajili wawili ,anatafuta DM wa uhakika ,
Spurs ,wanauza Kane ,
Manjesta na Chelsea Sina haja ya kuwazungumzia wanajulikana Kama Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko
Unamsifia wakat anawaza ujinga, kama msimu uliopita ukajaa upepo ukaanza kusema Arse88 kondoo haland kiatu. Mwisho wa siku akawakimbia.Nyumbu na Kenge ni wakuwaonea huruma mkuu
Hizo spana unazowapiga utawaua Sasa[emoji1]
Mkuu tupo phase ya nne, phase ya NDOO NDOO NDOOUnamsifia wakat anawaza ujinga, kama msimu uliopita ukajaa upepo ukaanza kusema Arse88 kondoo haland kiatu. Mwisho wa siku akawakumbia.
Tuwe serious had Sasa Chelsea haina combination ya kiungo , na inaenda pre season, je itapata muunganiko Ligi ikianza ?Chelsea ni Timu ya mdundiko. Sawa
Siku hizi kutajiwa mchezaji 100 imekua kawaida mno. Liva walijichanganya kwa Nunez, Nyumbu kwa Anthony, chelsea kwa Mudryk na Lukaku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie mmepigwa 105 kwa mchele halafu umeona mpaka aibu kumuweka hapo kwenye list.
Piga spana kenge haoMkuu tupo phase ya nne, phase ya NDOO NDOO NDOO
tunahitaji utulivu na ushirikiano wenu tu
Piga spana kenge haoMkuu tupo phase ya nne, phase ya NDOO NDOO NDOO
tunahitaji utulivu na ushirikiano wenu tu
Dogo fundi sana huyu, Marquinhos kazi anayo[emoji599]Amario cozier-duberry was made part of the USA Tour irrespective of Nelson involvement.
The idea was to give Walters,Nwaneri ,Skelly the Germany tour and to give Cozier Duberry the USA Tour
(@kayakaynak97 on youtube)
youtube.com/watch?v=-XxUv1…View attachment 2690149
Relegation battle for Chelsea it's just a matter of timeUnamsifia wakat anawaza ujinga, kama msimu uliopita ukajaa upepo ukaanza kusema Arse88 kondoo haland kiatu. Mwisho wa siku akawakimbia.
Dogo yupo vzr , uchezaji wake unafananishwa Sana na Saka, akipewa nafasi hata mechi zote za pre season ata surprise wengi ,maana bado hajajulikanaDogo fundi sana huyu, Marquinhos kazi anayo