Ligi ianze tuDJ waleteeView attachment 2689996
PepeReiss Nelson stays in the UK to build up fitness or recover from injury.
Reports, @kayakaynak97.
Bidding warAC Milan are also interested in signing Folarin Balogun. Inter are very keen on the American striker.#Milan #FCIM #AFC
(via @DiMarzio)
Unapomtaja Vieira kwakweli yule bwana t-bag ajipange ama sivyo atatolewa kwa mkopo maana yupo kimayai mayai sana hata Nwaneri anamzidi physicalityHiki kitu nimekuwa nakiogopa kwa muda sana.huyu dogo akipata 6 months consecutively bila kuugua au kupata majeraha anatrain na wenzie na akapata some minutes, atasababisha matatizo makubwa kwenye squad selection.
Dogo ana ile spirit ya kiingereza,anakasi,anapiga looseball,ana cut in vizuri tu badala ya kukimbilia kwenye kona halafu anapiga mashuti over lampard au jerad.
Kama arteta anadhani amemaliza basi asubiri tatizo la ESR na trossard.hawa watu hawakwambii nipange ila kila ukipanga unajiuliza unawaachaje nje na nani atakuelewa.vieira asipokaza basi ataozea nje
Yes, balogun na nketiah.. mie naenda na balogun.Isipokua kupunguza mabeki na vision ya pasi ila Balogun anapanda, anashuka anakua involved kwenye game vizuri kuliko Nketiah.
Yaani ST hafungi ila wote mnaridhika akicheza
Waweke kipengele cha kumrudisha.Mazungumzo kati ya Arsenal na Inter yatafanyika ili kujadili ada inayowezekana kwa Folarin Balogun.
Vyanzo vinatarajia angalau £40M-45M.
Holding vipi yupo? Arsenal ichukue hizo £2M
Patey atabaki kuwa partey, tungemtumiq walau msimu huu kwa mara ya mwisho.Nilisema tutarudi steps nyuma tukiuza Partey kisa tuna Rice.
Miongoni mwetu kuna wanaoamini kwamba Jorginho ni mzuri kuliko Partey, kwamba unaweza drop Partey kisa una Jorginho. Flexibility, vision na agility anavyo Partey katika hivyo 3 Jorginho anakupa vision tu.
Partey anakupa pace, siyo kubwa ila Jorginho haifikii.
So kuna games tutakua exposed vizuri tu dimba akisusiwa Jorginho
Katika wachezaji wamepita arsenal na nikamkubali mnoo basi hleb, arshavin na mtakatifu cazorla, hawa viumbe.. waachwe kama walivyo.Hleb alikua mkarateka so alikua mwembamba ila yuko fit 🤣
Kuna interview moja akasema haelewi ilikuaje akaenda Barcelona, anaamini kwenda Barcelona ndiyo kulimaliza career yake
Mie sio mshabiki wa arsenal ila katika list yako umemsahau the little mozart,sema majeruhi yalimkatili sana yule mwamba.Katika wachezaji wamepita arsenal na nikamkubali mnoo basi hleb, arshavin na mtakatifu cazorla, hawa viumbe.. waachwe kama walivyo.
Sahihi.. rosiscky nae alikuwa moto.Mie sio mshabiki wa arsenal ila katika list yako umemsahau the little mozart,sema majeruhi yalimkatili sana yule mwamba.
Nwaneri Yuko wapi?Emile Smith Rowe and Thomas Partey to join Arsenal next week on USA Tour
(Arsenal)View attachment 2689936
Sijui Kwa Nini nelson na nwaneri hawaendi
Binafsi vieira namuona msimu huu na ujao nae ataanza kuclic ikumbukwe wareno huwa ni washindani na wanavipaji mimi simkatii tamaa wala simdiss mwili wake jamaa ni gifted ila bado maturity yake naona ndo ttz kuna wachezaji vijana huchukua misimu miwil au zaid kuwa bora.Hleb alikua mkarateka so alikua mwembamba ila yuko fit
Kuna interview moja akasema haelewi ilikuaje akaenda Barcelona, anaamini kwenda Barcelona ndiyo kulimaliza career yake
Nelson wanasema injuryS
Sijui Kwa Nini nelson na nwaneri hawaendi
Yaani unafananisha impact ya Grealish na Pepe hebu kuwa serious Hamis77 you are better than this😮Jack Grealish first two PL seasons at City:
3980 minutes
8 goals
10 assists
Nicolas Pépé first two PL seasons at Arsenal:
3627 minutes
15 goals
7 assists
Pépé contributed more goals in nearly 6 less hours of football.
Guess which is labelled a flop…
Mafanikio ya timu ndio unayazungumzia wewe ,hapo nazungumzia individuallyYaani unafananisha impact ya Grealish na Pepe hebu kuwa serious Hamis77 you are better than this
Grealish: EPL (2), FA cup, Champions League kombe,. Trebble 2023. Amekuwa mchezaji muhimu msimu wa 22/23 panga pangua Grealish kamiiiki namba winga ya kulia kampokonya Foden.
Pepe:
Nani Flop unaanzaje kujaribu kumfananisha Grealish na Pepe