Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mazungumzo kati ya Arsenal na Inter yatafanyika ili kujadili ada inayowezekana kwa Folarin Balogun.


Vyanzo vinatarajia angalau £40M-45M.
 
Kwa kiwango chake ni sawa anavyogoma kutoka tena kwa mkopo. Shida ni kwamba huwezi muweka benchi Jesus constant ili Balogun acheze.

Mi namuombea ashine zaidi
 
Huyu long shot merchant tumuache kwanza

Wameuza 100M lukaku. Leo wanataka kuwagea wenzao 30M

Juve wanamtaka Lukakua eti wamesusa kwanini Lukaku aongee na Juve
 
Kwa kiwango chake ni sawa anavyogoma kutoka tena kwa mkopo. Shida ni kwamba huwezi muweka benchi Jesus constant ili Balogun acheze.

Mi namuombea ashine zaidi
Anaangalia future yake zaidi,, ndio maana kaenda USA kawa starter na kaanza kufunga

Akienda hizi Ligi SERIA A ,Laliga ,Ligue 1, atawaka zaidi , EPL Sina uhakika Sana

Ila Inter wameona mbali nasikia yupo kwenye list yao juu kabisa ,wanajua ma CF duniani adimu ,akipiga goli 15 tu hawakosi €100m

Kuna CF wa Atalanta Hojlund kafunga goli 9 mech 32 , manjesta wanamtaka wanaambiwa €100m , Goncalo Ramos nae €100m

Hadi lukaku anagombewa ,hii inaonesha Kuna shida ya CF duniani ,na itazidi kuwa kubwa Sana ,nawaelewa Sana inter wanajua haitapita misimu miwili watapiga hela ndefu
 
Huyu long shot merchant tumuache kwanza

Wameuza 100M lukaku. Leo wanataka kuwagea wenzao 30M

Juve wanamtaka Lukakua eti wamesusa kwanini Lukaku aongee na Juve
Lukaku kawasaliti kamalizana na Juve, Juve wanamuuza Dusan Psg , Kane Bayern , lukaku Juve , osmhen anabaki Napoli ,

Baada ya hapo hakuna CF wa maana , balogun angekuwa middle team angeuzwa €100m


Yaan yule Hojlund ana goli 9 , Atalanta hawamuuzi chini ya £80m
 
Siku hizi kutajiwa mchezaji 100 imekua kawaida mno. Liva walijichanganya kwa Nunez, Nyumbu kwa Anthony, chelsea kwa Mudryk na Lukaku.

Na CF wamekua wa kumulika lakini naona mpira umeevolve wafungaji wamekua Mid na wingers zaidi. Nafikiri hii inasababishwa na evolving ya defense systems kama gegenpress na low block

Coz mkipigwa hizo defense kama mfungaji wenu ni CF pekee hapo hamtoki na goli. Flano atauliza Haaland amewezaje akiwa City halafu Weghorst amekua kituko United
 
Arsenal are still in the race to sign Moises Caicedo from Brighton but face big competition with Chelsea for his signature.

[@MailSport]
Huu ndio usajili sasa baada ya Declan Rice. Ni ngumu lakini ikitokea itakuwa fresh mno. Caicedo Lcm, Rice #6, havertz ST. we're unstoppable.
 
Huu ndio usajili sasa baada ya Declan Rice. Ni ngumu lakini ikitokea itakuwa fresh mno. Caicedo Lcm, Rice #6, havertz ST. we're unstoppable.
Balogun 45
Partey 45
KT 30
Holding 8


Figure in €

Total around €100m+. Plus remaining budget inatosha kabisa kuleta Top Midfielder na RW

Naona Chelsea kakaza hataki kutoa £100m kwa caicedo , tajirri miluzi last season kachezea Sana za uso



Inatosha kabisa kuleta kiungo
 
Simple Inter wanasubiri pesa za onana ,wamnunnue balogun

Since Man United want Onana and Inter want Balogun why don't United send that €60m into Arsenal's account so Onana can go to United and Balogun goes to Inter.

Easiest business ever!!!
 
uhakika uhakika.
 
arteta hajielewi kwa hili naomba nitofautiane naye aisee ni kocha wetu lakini akumbuke bado ni mchanga kwenye career ya ukocha kuna wachezaji sio wa kuwapoteza kirahisi

Last season tumewin match nyingi sana kwa uwepo wa partey kwenye mido, he was our backbone kwenye mido plus xhaka, aya xhaka ameondoka na partey anaondoka eti kisa tuna rice na joginho plus huyo lavia/caicedo kama atakuja like serious the guy alituoffer vitu vingi sana plus experince atakayekuwa amesahau akaangalie game yetu na city ya 2021/2022( home) ataelewa kwa nn nalia na TP

next season michuano inaongezeka halafu sisi tunakazana kuvuruga eneo letu la kiungo, experience ya TP tunahitaji UEFA na this season ni kama wachezaji wetu wanaenda kumalizia kile walichoashindwa kumalizia next season

Utaondoaje stater wako wawili kwenye mido??? Are u serious Arteta??
kufanya partenship ya wachezaji sio kitu kirahisi na cha harakaharaka, Asijione Pep kwa kufanya maamuzi magumu

Amini nawaambieni akiondoka TP, tunapoteana mchana kweupee....
 
Arsene Wenger -


"Nililazimika kuvumilia bila pesa hata kidogo, kwa hivyo lazima utafute njia tofauti kuendesha timu"

Arsenal sasa ina nguvu nzuri ya kifedha na wananunua kile wanachofikiri kitawasaidia kutwaa ubingwa.”

Ninaamini tutashinda ubingwa (PL), ni rahisi kama hivyo. Sina mashaka kwa Arsenal kuliko mchezo wa baiskeli (Tour de france) leo."


Arsene Wenger kuhusu usajili wa Arsenal Rice, Havertz na Timber -

"Nadhani ni uwekezaji mzuri," Wenger aliiambia Eurosport. "Kwa ujumla, binafsi nadhani wamefanya manunuzi mazuri kwani ni wachezaji ambao sasa wamekomaa, 23,24, na bado wachanga hivyo wanaweza kukaa pamoja kwa miaka michache."

(@eurosport)
 
Sidhan Kama anataka kumpoteza Partey ,ila mchezaji anaangalia pesa za waarabu ,ndio maana Arsenal Kuna kiwango Cha pesa wameweka ili kikifikiwa Basi watamuachia

Kumbuka waarabu Sasa hivi wanaweka mishahara mikubwa Sana

Mchezaji Kama Ruben Neves ,Savic , n.k wamefata pesa huko

Usimlaumu Arteta ,angalia na upande wa wachezaji ,Partey analipwa £200k ,Waarabu nasikia wamemuwekea £400k per week
 
TP hana nia ya kuondoka arsenal hata kidogo
this season
Arteta siwezi kumsamehe kwa hili
 
TP hana nia ya kuondoka arsenal hata kidogo
this season
Arteta siwezi kumsamehe kwa hili
Ngoja tuone huenda ni media tu ,mbona jamaa yupo Na timu na ana furaha tu

Ninachojua Arsenal hawawez muuza kiboya hivo, unakumbuka tetes za Xhaka kuondoka , mwaka Jana kwenda Roma ,mwisho alibaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…