Sio mbaya, Rosicky na Arshavin, nilitegemea watacheza ovyo, hawajaniangusha!
Mbele RVP naona hayuko sharp, AW atafanya mabadiliko?
Maana kucheza na striker mmoja mbele halafu kutegemea support ya midfield naona kama haina matunda.
Ila muamuzi na mjuzi ni yeye AW.
Tuvute pumzi, tusubiri kipindi cha pili