hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,290
- 26,694
Ule msimu naukumbuka vizuri , huo msimu hatukuwa na CF wa maana ,aliyetubeba Sana alikuwa Sanchez na Ozil tu, kufika January CF Giroud ameenda mechi 12 bila goli, Wenger akaomba pesa za usajili apate CF akanyimwa, akamtaka Demba Ba maana Giroud alikuwa anakosa magoli Sana ,kipindi hicho Ozil na Sanchez wapoUnakumbuka ule msimu Lescister anachukua ndoo. Mlikuwa na ubora gani na chelsea alikuwa na hali gani plus liverpool, Man u na man city? Do u remember?
Sana, Mourinho akamwambia Wenger ,siwez kukupa Demba Ba maana una Ozil
Kipindi hicho hata bajet Arsenal ilikuwa finyu Sana maana KSE walikuwa hawaimiliki timu
,Msimu huo tukimsajili Cech kutoka Chelsea tu dirisha kubwa
Now unaizungumzia Arsenal yenye umiliki
, yenye style of play inayoeleweka inayovutia wachezaji kuja kucheza, unaizungumzia Arsenal Sasa inayojipambanua kushindana ndani na nje ya uwanja Nadhani umeona kwenye soko la usajili ,tumepambana na city ,Bayern ,n.k
Kama unadhani Arsenal alikuwa one season wonder Basi subiri Ligi ianze
Arsenal are to go live from their training centre in the next 8 mins