hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
Sipati picha Arsenal ndiye angekuwa ameenda muda wote huo kwa mchezaji mmoja ,kejeri ambazo tungepewaWalikataa £70M yetu dirisha dogo kumbe walitegemea Summer kupanda hadi uko kwenye £100M????
Lakini shida naiona ni moja hawawezi kupewa iyo wanayoitaka wao sababu hakuna timu nyingi zinazomgombea Caicedo kwa sasa. Naona taarifa za Liverpool kumuegemea sana sana Lavia
Jamaa walipeleka ofa ya £60m ikawa rejected,
Brighton wanasubiri bado Kama Kuna watu watajiunga wapate hiyo £100m
Tatizo mchezaji ni one season wonder, yale Yale ya Bissouma