zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,256
Hii asenali ya kwenye usajili na mdomoni tamu sanaaa ila ngoja kipute kianze😂😂😂....
👣
👣
Umeona eeh, yan game ya kwa kwanza daaah nikasema bora angesajiliwa ndicka
😂😂😂 ukiwasikia wanadiscuss hapa kama huwajui, unaweza ukawakabidhi kabisa kombe kabla msimu haujaanza, kumbe weupeeHii asenali ya kwenye usajili na mdomoni tamu sanaaa ila ngoja kipute kianze😂😂😂....
👣
Arsenal lazima tuzungumzwe deal la Rice lime delay kidogo ila nmekuta comment umu hadi mtu unaogopa aiseeeSipati picha Arsenal ndiye angekuwa ameenda muda wote huo kwa mchezaji mmoja ,kejeri ambazo tungepewa
Jamaa walipeleka ofa ya £60m ikawa rejected,
Brighton wanasubiri bado Kama Kuna watu watajiunga wapate hiyo £100m
Tatizo mchezaji ni one season wonder, yale Yale ya Bissouma





Baada ya usajili wa Ødegaard huu ni usajili mwingine ambao Arsenal mmesajili kama timu kubwa.Majirani wamenuna kwa usajili huu wa Timber utadhani tumebeba UEFAView attachment 2688042View attachment 2688041
Rice kesho anatambulishwaKwahiyo bado kuna mashabiki wa Arsenal mnaamini mtamsajili RICE?
Wataalamu wa mambo tushajua, dili lime-collapse kitambo sana.
Chelkenge nafas ya 12ukiwasikia wanadiscuss hapa kama huwajui, unaweza ukawakabidhi kabisa kombe kabla msimu haujaanza, kumbe weupee
Dah mkiuza timu kwa muarabuArsenal tukamatieni jurŕien timber kwa miaka miwili, baadae tutakuja kumchukua wenyewe.
Kwangu huu ndio usajili bora mulioufanya.
Kesho weekend. Hakuna usajili utafanyika.Rice kesho anatambulishwa
Hizi habari mnaziokota wapi jaman
Kutangaza inawezekana ,tetes ndio huwa hakunaKesho weekend. Hakuna usajili utafanyika.



1. Wanasheria wenu bado wanajizungusha ishu ya paperwork.Kutangaza inawezekana ,tetes ndio huwa hakuna
Rice alikuwa Leo London kashamaliza had video ku shoot, maana anatakiwa awepo kwenye msafara wa USA ,
Westham tulikuwa tunawakomesha maana walijifanya wajuaji kumualika city
Ila deal lilishaisha kitambo na medical tayari
Mtaalam toka bonyokwa, angalia usije ukaugua kisukariKwahiyo bado kuna mashabiki wa Arsenal mnaamini mtamsajili RICE?
Wataalamu wa mambo tushajua, dili lime-collapse kitambo sana.
Sisi Wana Arsenal tuna credible source za uhakika , Rice ameondoka na jet yupo London ,anatambulishwa kesho1. Wanasheria wenu bado wanajizungusha ishu ya paperwork.
2. UK siku za weekend hakuna SWIFT transfers. Mtalipaje up-front fee?
3. Habari za Rice kuwa London hakuna credible source yoyote imeripoti.
Baada ya debut mechi iliyofuata alicheza Nuremberg?Sio game ya kwanza tu , huyu kiwior bado sanaaa!! Perfomance yake na timu kama nurberg sijuii tena friendly isikuchanganye, ngoja akutane na kina grealish , bernado na KDB ambao walifanya kina tomiyasu wanatetemeka na kutoa maboko.
Still bado ni dogo sana na as we know epl ni ngumu hata kina stones na ake japo wametoka humohumo epl lakini ilibidi wasubiri zaidi ya miaka 2 benchi kuwa hivi walivyo sasa, Nitashangaa sana tierney akiuzwa, si kila game inahitaji kucheza inverted midfielder. Arteta atafute njia ya kumtumia tierney asilazimishe acheze kama zincheko timu inakuwa na mfumo mmoja tu! Ukigoma ndo kama ivyo game na liverpool ilivyokuwa, Unai emery season ya kwanza alifanya poa magoli mengi yakawa kupatikana kwake ni kutumia winger tu, wakamjulia season iliyofuata ikawa ilivyokuwa.