Huyu Mpoland Mgumu mnoo , halafu Fundi vile vile .Kwani UEFA champions league lini? JAKOB KIWIOR remember the name



Leo ameanza kama Sehemu ya Midfield pembeni ya Thomas Partey Arsenal ikianza ujenzi wa Shambulizi
Nyuma yake Kuna Gabriel Magalhaes,Willy Saliba na Ben White.Kila lenye Kheri ndugu zangu Kwenye kuupita huu Ukuta.Siwatishi Wala nini nawaombea Mema tu.Muongeze the most Expensive RICE hapo na Jurrien Timber.Eeeh Mungu nyiee
Ooh Mikel Arteta kamuiga PEP GUARDIOLA kwenye Kutumia Ma center back 4.Nenda Kaangalie Mechi ya Arsenal vs Liverpool Emirates msimu uliopita.Halafu uje hapa tusemezane.
Kuna Wakati nilikuwa naona pia anshuka katikati ya Willy Saliba na Ben White.Halafu Gabriel Magalhaes anaenda Pembeni Kushoto
Halafu Fabi Viera anashuka Pembeni ya Thomas Partey kwaajili ya Progression ya Boli.
Sasa Kwa hii TITRATION hapa nyuma kama ulikuwa unapiga Chabo umeambulia kitu Kweli? Utafeli KENGE WEWE
Leandro Trossard na King KAI HAVERTZ wote wametumika kwenye Ile role ya Granit Xhaka
Msioogope sana Jamani mechi yenyewe pia IMEISHIA 1-1.Kama Ile tu dhidi ya Watford
Note; Nlitaka Kusahau bao la Arsenal limefungwa na Winga ghali zaidi Duniani Kwa Sasa.
Mzee wa jambia
View attachment 2687376