Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kacheza dk ngapi Hadi uhitimishe tumepigwa?


Sasa Mimi nitajitolea kuwa nakukumbusha kila daily Kai anapo perform

Arteta (Kai Havertz position at Arsenal)

ā€œWe have to see how he adapts and obviously get to know each other and build relationships. Football is about that and time will tell where he fits in best."
Dk zitakazofuata ni benchi hadi liwake moto, atazima kwa ushuzi wake. Mimi namuamini sana Arteta, hawezi kuwaweka warembo wa kunengua uwanjani wakati yeye anataka kubeba makombe. Na mkimpendlea kama tulivyofanya huku mtarudi mlipokuwa na akina Luiz
 
Dk zitakazofuata ni benchi hadi liwake moto, atazima kwa ushuzi wake. Mimi namuamini sana Arteta, hawezi kuwaweka warembo wa kunengua uwanjani wakati yeye anataka kubeba makombe
najua unaombea afeli Kama kina mudrky , ila tambua Kai anaenda ku shine Arsenal ,, ni matter of time ,

Role ya LCM aambayo Kai atacheza anahitaji muda kidogo kuitafsiri

Hata Ćødegaard aliandamwa Sana ni mlaini ,na maneno kibao ,lakin alichukua muda kidogo akaelewa kucheza RCM


Uzuri Kai anaweza kuanza kutumika hata CF


Mimi nitakuwa nakukumbusha ,
 
Kipindi mnapokea vipigo walikuwa wanaonekana real Arsenal fans kama wawili tu, Arsenyani wote mlikimbia. Ilikuwa rahisi kujua kuna plastic fans wameshindwa kukubali ukweli.
Arsenal na manjesta Nan kafungwa mech nyingi?

Ujue mna timu mbovu Sana nashangaa mnajifariji humu

Ligi ianze tu mkae kimya
 
Rice to MAN UTD. Who says no?

Kulipa $127m mmeshindwa, mmepewa nafasi ya kulipa kwa mafungu pia mmeshindwa.
20230714_105705.jpg
 
ļø | BRILLIANT NEWS

According to German journalist Florian Plettenberg (@Plettigoal), the Gunners will officially complete the signing of Declan Rice from West Ham today!

Ā£105m transfer fee.
5-year-deal
West Ham Captain
󠁧󠁢󠁄󠁮󠁧󠁿 English international
 
BREAKING: Declan Rice set to complete record £105m transfer to Arsenal TODAY

READ MORE: trib.al/ypy0vRL
 
Rice to MAN UTD. Who says no?

Kulipa $127m mmeshindwa, mmepewa nafasi ya kulipa kwa mafungu pia mmeshindwa.
View attachment 2687548
Nasikia Man UTD wamesha hijack dili tyri na wamelipa £110 Milioni...hvyo wanakamilisha hatua za mwsho Rice atangazwe rasmi kama mchezaji wao...ndo maana msela anafanya mazoezi na Bruno waanze kuzoeana mapema
 
Arsenyo wanaenda kuanza ligi halafu kipa namba moja ni Rasi Madale akisaidiwa na Heroin
Ile foot work ya Heroin iliyozaa goli la kusawazisha ni
Kwa hawa makipa wenu mkifanikiwa kutoboa Uefa kwenye hatua ya makundi nitaamini kweli uchawi upo.
tapatalk_445722059_450x256.jpg
 
Mikel Arteta on if playing with Ƙdegaard will help Havertz:


ā€œHopefully it will. Every player is keen to help him & he’s settled well. He’s a really good character, really humble. He wants to play for us & win with us & we are delighted to have him.ā€ #afc
 
Declan Rice is back in the UK to finalize his move to Arsenal. Jurriƫn Timber is also due to be finalized as both deals are expected to be completed before the team flies to the USA tour.



Reports, @sr_collings.
 
Back
Top Bottom