mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,701
- 19,558
Hii haifunguki
FC Nurnberg vs Arsenal - Friendlies Clubs 2023/24
yalla-shoot.kooora365.com
Hii haifunguki
yalla-shoot.kooora365.com
WAzee wa kuovalodi kiungo, mmeshinda ngapi?
Mkuu hizo ni tabia za kike Sasa, sio soka TenaVile MC wa singeli Hamis77 akiwadanganya wanakijiji wa Arse8 kuwa watakua wanashinda 5GView attachment 2687135
[emoji23]Mkuu kua na heshima hawa ndo walishinda kombe la. Nafas ya 2..na wanasema Msimu huu ndo wanaingia rasmi no. 1.Nikisema hii timu uwezo mdogo huwa hamnielewi, ukute sasa humu kondoo wanadanganyana kua msimu ukianza watakua wanashinda goli tano tano[emoji23][emoji23]
Ndio mana napendaga kuingia humu nicheke.