hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Huu uzushi kawadanganye mashabiki wenzako wa unyumbuniIla Arsenal ni kikundi cha wahuni.
West Ham wametoa green light kwa ofa yenu na namna ya ulipaji mmekubaliana wote ila kusaini mikataba nyie ndiyo mnachelewa tena. [emoji1787]
View attachment 2686828
Hao Sky sport ndio waliosema Rice anaelekea mancity kupitia mwandishi wao Di marzio , mkafurahia Sana
Sasa hao Sky sport Jana wamewadanganyeni ,leo wamewageukeni Tena
Naweka ushahidi hapa chini taarifa ya Jana na ya leo
Zaman Sky sport walikuwa chanzo Cha kuaminika siku hizi Sky sport ni Kama TBC View attachment 2686840