Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Hii deal nimeliona toka juzi but halijanishawishi kama ni uhakika[emoji599] Arsenal wameanza mazungumzo na Gremio kuhusu kumnunua kiungo Bitello.
Inaaminika Gremio wako tayari kukubali dili la thamani ya £8.5m, ikijumuisha faida inayoweza kupatikana kutokana na mauzo yoyote yajayo.
Mazungumzo yanaendelea lakini vyanzo vinaamini kuwa makubaliano yanaweza kufikiwa wiki hii.
[@GraemeBailey]View attachment 2686726