Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ethan Nwaneri in front of a well-built midfield of Partey and Rice to give him protection is definitely going to cook a lot of midfields in the PL. When he plays in an advanced role in the PL, he's going to have a lot of joy.

I'm happy with Ethan and his potential at the club.
20230713_215922.jpg
 
Huyu Mpoland Mgumu mnoo , halafu Fundi vile vile .Kwani UEFA champions league lini? JAKOB KIWIOR remember the name

Leo ameanza kama Sehemu ya Midfield pembeni ya Thomas Partey Arsenal ikianza ujenzi wa Shambulizi

Nyuma yake Kuna Gabriel Magalhaes,Willy Saliba na Ben White.Kila lenye Kheri ndugu zangu Kwenye kuupita huu Ukuta.Siwatishi Wala nini nawaombea Mema tu.Muongeze the most Expensive RICE hapo na Jurrien Timber.Eeeh Mungu nyiee

Ooh Mikel Arteta kamuiga PEP GUARDIOLA kwenye Kutumia Ma center back 4.Nenda Kaangalie Mechi ya Arsenal vs Liverpool Emirates msimu uliopita.Halafu uje hapa tusemezane.

Kuna Wakati nilikuwa naona pia anshuka katikati ya Willy Saliba na Ben White.Halafu Gabriel Magalhaes anaenda Pembeni Kushoto

Halafu Fabi Viera anashuka Pembeni ya Thomas Partey kwaajili ya Progression ya Boli.

Sasa Kwa hii TITRATION hapa nyuma kama ulikuwa unapiga Chabo umeambulia kitu Kweli? Utafeli KENGE WEWE

Leandro Trossard na King KAI HAVERTZ wote wametumika kwenye Ile role ya Granit Xhaka

Msioogope sana Jamani mechi yenyewe pia IMEISHIA 1-1.Kama Ile tu dhidi ya Watford

Note; Nlitaka Kusahau bao la Arsenal limefungwa na Winga ghali zaidi Duniani Kwa Sasa.

Mzee wa jambia
mzeewajambia-20230714-0001.jpg
 
Arsenyani wameanza kujisahau tena. Msimu uliopita walipiga kelele sana "Arsenal koNDOO, Haaland kiatu" msimu uanze tu warudi mapangoni.
Itaisaidia nn manjesta kuepuka vipigo?

Unaizungumzia Arsenal inayoweza kwenda mechi hata 10 bila kupoteza
 
Huyu Mpoland Mgumu mnoo , halafu Fundi vile vile .Kwani UEFA champions league lini? JAKOB KIWIOR remember the name

Leo ameanza kama Sehemu ya Midfield pembeni ya Thomas Partey Arsenal ikianza ujenzi wa Shambulizi

Nyuma yake Kuna Gabriel Magalhaes,Willy Saliba na Ben White.Kila lenye Kheri ndugu zangu Kwenye kuupita huu Ukuta.Siwatishi Wala nini nawaombea Mema tu.Muongeze the most Expensive RICE hapo na Jurrien Timber.Eeeh Mungu nyiee

Ooh Mikel Arteta kamuiga PEP GUARDIOLA kwenye Kutumia Ma center back 4.Nenda Kaangalie Mechi ya Arsenal vs Liverpool Emirates msimu uliopita.Halafu uje hapa tusemezane.

Kuna Wakati nilikuwa naona pia anshuka katikati ya Willy Saliba na Ben White.Halafu Gabriel Magalhaes anaenda Pembeni Kushoto

Halafu Fabi Viera anashuka Pembeni ya Thomas Partey kwaajili ya Progression ya Boli.

Sasa Kwa hii TITRATION hapa nyuma kama ulikuwa unapiga Chabo umeambulia kitu Kweli? Utafeli KENGE WEWE

Leandro Trossard na King KAI HAVERTZ wote wametumika kwenye Ile role ya Granit Xhaka

Msioogope sana Jamani mechi yenyewe pia IMEISHIA 1-1.Kama Ile tu dhidi ya Watford

Note; Nlitaka Kusahau bao la Arsenal limefungwa na Winga ghali zaidi Duniani Kwa Sasa.

Mzee wa jambia View attachment 2687376
Ww ndugu yangu uwe na maneno ya akiba usije ukakimbia kama unavyofanyaga ukawaacha wenzio humu
 
Timu ya daraja la pili wameshindwa kupata hata ushindi
Uliangalia mpira ? Unaweza kueleza first half na 2nd half

Nini kilikuwa implemented na magoli yalifungwaje?

Unaiwaza Arsenal unasahau chelkenge bado haijulikan hata Kama itakuwepo top 10
 
Today,

— Arsenal will announce the signing of Jurrien Timber.

— The paperwork for the transfer of Declan Rice to Arsenal will be delivered and signed.
 
Chelsea fans hao in reality 1st game unamjudge vipi mchezaji?tena friendly game?Sitaki kuamini Arsenal fans wanaweza kumshambulia Kai why?for what reason?hata EPL na Arsenal hajacheza ,hao ni Chelsea fans wanacreate kitu ili Kai aone kama anachukiwa but this is not true at all
CHelsea fans? Why!! Mashabiki wa Arse888 mna IQ ndogo sana, ndio mana mnaweza kudumu na hiyo timu yenu inayowapa fake hopes kila msimu. Yaan kuna sababu gani ifanye chelsea fans wafanye hivyo? Havatrz hajaondoka kwa ubaya. Ni chelsea ndio hawakumtaka.

Havertz Epl ni kubwa kwake, ni ronyo ronyo sana. ni muda tu utadhibitisha hilo.
 
Uliangalia mpira ? Unaweza kueleza first half na 2nd half

Nini kilikuwa implemented na magoli yalifungwaje?

Unaiwaza Arsenal unasahau chelkenge bado haijulikan hata Kama itakuwepo top 10
Kwa kikosi kilichoanza na hata wachezaji walioingia hukupaswa kukosa ushindi kwa timu ile uliyocheza nayo
 
Kwa kikosi kilichoanza na hata wachezaji walioingia hukupaswa kukosa ushindi kwa timu ile uliyocheza nayo
Basi hujuangalia mpira Kwanza Kama kile unaona ni strong Basi nikusanue pale hawakuanza kina

Zinchenko, Martinelli, Jesus,Rice,Timber ,Smith Rowe, Frelo, Kai , ødegaard
 
Declan #Rice & Arsenal, the transfer will be finalized today! Last paperwork’s are ready to sign. It will be 100 % done this Friday.

Rice, he’s a new player of Arsenal today!
Understand it’s a package of up to €120m with possible add-ons included.

@SkySportDE 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
 
Mikel Arteta on the transfer window:

“There’s still a lot of things to do. Things develop all the time in the last few days as well. We need to be really on it and be alert. But we are really pleased so far.”

@kayakaynak97
 
Back
Top Bottom