Ndio mana nikasea kuwa shabiki w Ars88 ni zaid y uzwazwa.Ushabiki unawatia upofu. Arsenal hii kwa Chelsea tu haifui dafu wakati wanaendelea kuwaita wenzao plastic fans wenzao wanafukuzia record za Liver na Utd
Na msimu ujao watatoka patupu, then watarudi hapa kujipa moyo na usajili, na misimu inayokuja na inayokuja tena hivyo hivyo,yaan km watoto. Wakati wenzie wanendelea kuandika historia.
Hata watoto kuna mahali wanafika wanagoma, wanakwambia baba we kila siku unasema utaninunulia ndege mbona hununui, ila hawa kondoo hawashtuki.