[emoji837][emoji1593]| Mpaka sasa wachezaji sita tayari wameshasaini mikataba mipya, huku Nahodha Martin Ødegaard pamoja Ben White nao wakiwa karibu kusaini mikataba yao mipya ndani ya Arsenal.
[emoji736] Gabriel Jesus [emoji1054]
[emoji736] Bukayo Saka [emoji1022]
[emoji736] Gabriel Martinelli [emoji1054]
[emoji736] Aaron Ramsdale [emoji1022]
[emoji736] Reiss Nelson [emoji1022]
[emoji736] William Saliba [emoji632]
[emoji776] Martin Ødegaard [emoji1189]
[emoji776] Ben White [emoji1022]
Mbali na kuwaongezea mikataba mipya wachezaji wao..
The Gunners tunaendelea kwenye soko la usajili barani Ulaya kwani mpaka sasa tumeshasajili wachezaji wapya watatu ambao ni:
[emoji629]Kai Havertz [emoji736]
[emoji1022]Declan Rice [emoji736](bado kutambulishwa tu)
[emoji1179]Jurrien Timber [emoji736](bado kutambulishwa tu)
NB:
Declan Rice na Jurrien Timber watatambulishwa rasmi siku yoyote kuanzia sasa (wiki hii haitaisha).