Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ten Hag
"We have to deal with it well but Arsenal all the time their squad is totally available."

Ndio tayari Baba Ubaya ameshaanza ku deal na tatizo la majeruhi kwenye squad yake kwa kufanya usajili kabambe wa aliekua daktari wa Arsenyo.
Asilete visingizio vngne tena...kwhyo maana yke hao physicians walokuwepo hapo Unyumbuni ni vilaza wanashindwa ku handle majeruhi vzuri sio....wacha ligi ianze tuone atakuja na malalamiko gani tena 7hag
 
Mkuu attention seekers kama Hawa unakaa kimya Haina haja ya kujibishana naye...unampuuza tu
 
Ni vzr kusema kile Ambacho ww kinakufanya ufurahi.

Kwhy mm nakuelewa unatak kujifuraisha na siwez kipangana na ilo ww endelea kuamin kile kinachofany ww upunguze machungu ya kua shabik wa Arsenal.

Arsenal hata Mungu akikupa Golden chance uishi hata miaka 200 sidhan kama kuna siku utaiona inabeba UCL.

Kwhy najua machungu yenu yanatokea wap na ninakuelewa mkuu.
 
Nashangaa hawa wapuuz wachache wa Arsenal wanajikuta die hards fans wa Gunners.


Mwshn mwa ligi wkt team inafanya vibaya mlikua wapi jukwaani hapa mbona mlikimbia kwenda mafichoni.

Nyie ni wapuuz sana nyie ndo wanafiki wakubwa.. Yan jukwaa lenu mlikua mnaliona kama moto.. Hlf saiv mnajitokeza kusema nn hapa.

Nyie wengi wenu ni shabik maandaz mlikua wap wkt team yenu inapelekwa moto na kupokonywa ligi mkiwa mmekaa kileleni kwa sik 200+.

Leo hii mko hapa mnajifanya ndo doe hards fana.. Wkt team wkt inapokea vipigo hamkuonekana hapa.
 
Al-Hadidy njoo kuna tuhuma zako. Title contenders zinakupiga Madongo huku eti wanakuita wewe dalali😀
 
Wewe ni msengerema tu. Hili jukwaa umelizoea kupitiliza. Kachat huko Manure huu upumbavu wako. You are a Borer.Nakuchukia kama harufu ya Kinyesi
Kaboom 💥 leo nimekubamba. Hatimaye yule shabiki wa Arsenali mtukanaji nguli kwenye jukwaa la Man U ajulikana ambaye ndio wewe. ID zako zingine fekero ni dadamlamayao @natukundakum nyamanolokwetu @baisesekwetu kengemajikwetu
 
EBL2017. ..anasema amedokezwa

One of my Patron's said to me that Arsenal will have lots of tactical variation next season - he's right.

Instead of only Zinchenko inverting, Timber can too.

They can play long over man-to-man presses (Havertz).

They can use Havertz as a left-sided 8 with Zinchenko tucked in.
 
CF waliofanya vizuri hujawajumuisha wa ligi ya Ureno
 
CF waliofanya vizuri hujawajumuisha wa ligi ya Ureno
Ureno kule Kuna Goncalo Ramos

Kuna mehd teremi nimeona Arsenal tumehusishwa nae ,ana miaka 30 ,chance ni ndogo kuja

ST wamekuwa adimu ,labda u develop wakwako ,ndio maana Arsenal wanamuuza Balogun kwa £45-50m ,akikiwasha Tena msimu ujao utasikia €100m

Tammy Abraham alifunga Goli 12 tu Seria A , et Bei ni €80m
 

Hapo kwenye kuja kukuomba uje .... Hapana. Wewe unajileta na sisi tunakupa za uso. Ukikimbilia kwenu tunakuja huko huko matofalini na kukupa za uso huko pia
 
Akijibu najiua
 
Shabik yoyote ambaye alikuwepo wkt tunawapelekea moto had tunachukua ligi na akazid kuwepo hapa ndo naweza ongea nae tubishane.

Sio nyie oya oya mnaoibuka kipind kuna tetes za usajili na kuja na porojo za vijiweni.

Wakija unitaq
umepiga pale pale nilipopiga jana. Wanasema Kwenye mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…