Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Nawasalimu wana Gunners. Je mnaikumbuka hii Fainali?View attachment 2680220View attachment 2680221View attachment 2680222View attachment 2680224


hii ndio ilikua the one & only Europa final kwa Arsenyau. Tunawashukuru sana Chelsea kwa kuchukua kombe kwenye hio fainali la sivyo mineno ingekua mingi sana humu.
Watu kwenye kabati lao wamejaza vibakuli tu vya mwanaFA lakini hivyo vichambo na tambo zao cha moto tunakiona.
Sasa kwenye hio fainali wangebahatika kupata hilo kombe si angetunyang'anya mpaka pumzi Kima hawa.
Asanteni sana The Blues kwa kutuheshimisha kwenye Europa final 2019.
|| Real Madrid will look to move on one of Valverde or Tchouaméni for circa €80-€100m (£68-85m). The club will then invest massively in Mbappé
️

