Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawasalimu wana Gunners. Je mnaikumbuka hii Fainali?
Screenshot_20230706-161530_YouTube.jpg
Screenshot_20230706-160751_YouTube.jpg
Screenshot_20230706-160707_YouTube.jpg
Screenshot_20230706-160721_YouTube.jpg
 
Arsenal assistant coach Steve Round has left the club by mutual agreement.
#afc

Carzola anakuja kwa hii dariri
 
Granit Xhaka has just signed contract as new Bayer Leverkusen player.
 
Alikurupuka Sasa hivi kawa na adabu na yeye ana negotiate ,

Ametumia £650m akataka kushuka daraja

Akaona Arsenal tunafaidi kwa mudrky akavamia akala za uso €100m

Akamsajil Enzo kwa £107m ,timu ikiwa nafasi ya 10 , ndio kwanza akateremka had nafas ya 12

Kwasasa amekuwa mpole ndio maana unaona mwez wa 2 huu anasumbuana na Brighton.

Mwaka Jana alienda akamalizana na Leeds kwa Raphina ili Arsenal tukose akakuta mchezaji hataki anataka kwenda Barca, wakati huo Edu alishapewa taarifa na Deco asipeleke ofa ya 2 sababu Mchezaji anaenda Barca .

Tajiri miluzi kwasasa amerudi kwenye utamaduni wa usajili , sitashangaa akigoma kulipa £100m kwa Caicedo ,maana kajikuta msimu huu wale aliohijack wote Ni magarasa
Daaah wewe jamaa ndo maana tukifanya vibaya wanatuvamia sana humu, unakera sana
 
Mkuu huu ni ukweli wa wazi kabisa...yule tajiri miluzi alivamia biashara ya mpira kichwakichwa....aombe msimu huu timu ifanye vzuri...ikiflop tena hakyanani atapagawa
Atarud marekan kuwekeza kwenye ule mpira wao timu haishuki daraja hata iwe ya mwisho
 
|"Reiss Nelson -

"[Mikel Arteta] aliniambia kaona mabadiliko makubwa kwangu na anaona nipo katika hatua nyingine na naweza kwenda hatua nyingine mbali zaidi"

"Nina furaha sana nipo hapa toka nikiwa na miaka 8 sasa nina miaka 23,imekuwa ni safari ndefu na nna furaha kuendelea kubaki hapa,familia yangu ni mashabiki wa arsenal na wana furaha pia".

"Nipo hapa kwa miaka mingi mizuri na mibaya na kupanda na kushuka mfano mwaka uliopita nimeona jinsi timu inapanda na nna train hard ili niwe sehemu ya mafanikio hayo"
IMG_20230706_180318.jpg
 
Contract extensions in the last 9 months:

Bukayo Saka
Gabriel Martinelli
William Saliba
Gabriel Magalhães
Reiss Nelson
Aaron Ramsdale
Ethan Nwaneri
Miles Lewis Skelly

Tremendous work Mikel Arteta and Edu
 
Watoe hela wamnunue si wanataka.... after all tajiri miluzi ni mtu ambaye akitaka kitu hakubali kushindwa....
Kagoma kutoa £100m

Anaogopa kupigwa

Ujue Brighton matapeli Sana, mchezaji kawika msimu mmoja wanasema watamuuza Bei sawa na Rice ambaye ana msimu wa 3 Sasa anafanya kitu kile kile

Kuliwahi kuwa na debate humu ya Yves Bissouma aliwaka Sana Kama Caicedo , wengi walimlaumu Sana Arteta kwanini hataki kumsajili ilihali mchezaji kaonesha kabisa anataka kuja Arsenal ,

Mwisho alienda Spurs kufika pale hata benchi alikosa namba ,na sasa kasahaulika kwenye ulimwengu wa ma DM,

Lakini ilikuwa kila takwimu humkosi Yves Bissouma

Tajiri miluzi baada ya kupigwa za uso kwa mudrky na akamsajili Enzo kwa £107m akatoka nafasi ya 10-12 , amekuwa mjanja

Chelsea are refusing to meet Brighton’s demand of £100m for Moisés Caicedo. They do not want to pay over £80m and are wary of getting burned in negotiations.

[@JacobSteinberg] -Tier 1
 
Jurrien Timber akielekea Wembley kuangalia mech ya manjesta vs city ambayo alialikwa na 7+3hag

Maafisa wa Arsenal siku hiyo hiyo baada ya mechi walimuiba na kumpeleka ofisini kwa Arteta, baada ya hapo hakutaka Tena kusikia habari za manjesta ,

Leo yupo London kafanyiwa vipimo kujiunga na Arsenal

Atajiunga na timu kuelekea marekani anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya manjesta ,July 22
IMG_20230706_221831.jpg
 
Arsenal have booked medical tests for Declan Rice on Friday. Club record signing will complete tests tomorrow.

Documents being checked and set to be signed within 24 hours between #AFC and West Ham.

Club record deal now finally set to be officially completed.
Timber medical kesho

Rice medical kesho

Saliba new contract inatangazwa kesho

Jumatatu Officially Rice & Timber wanatangazwa

Busy week
 
Kagoma kutoa £100m

Anaogopa kupigwa

Ujue Brighton matapeli Sana, mchezaji kawika msimu mmoja wanasema watamuuza Bei sawa na Rice ambaye ana msimu wa 3 Sasa anafanya kitu kile kile

Kuliwahi kuwa na debate humu ya Yves Bissouma aliwaka Sana Kama Caicedo , wengi walimlaumu Sana Arteta kwanini hataki kumsajili ilihali mchezaji kaonesha kabisa anataka kuja Arsenal ,

Mwisho alienda Spurs kufika pale hata benchi alikosa namba ,na sasa kasahaulika kwenye ulimwengu wa ma DM,

Lakini ilikuwa kila takwimu humkosi Yves Bissouma

Tajiri miluzi baada ya kupigwa za uso kwa mudrky na akamsajili Enzo kwa £107m akatoka nafasi ya 10-12 , amekuwa mjanja

Chelsea are refusing to meet Brighton’s demand of £100m for Moisés Caicedo. They do not want to pay over £80m and are wary of getting burned in negotiations.

[@JacobSteinberg] -Tier 1
Asikubali...amnunue si kauza watu wengi au anaogopa tena FFP...yy aweke hela mezani aache ubahili...wanasema Caicedo ni mzuri kuliko Rice kule kwny jukwaa lao
 
Asikubali...amnunue si kauza watu wengi au anaogopa tena FFP...yy aweke hela mezani aache ubahili...wanasema Caicedo ni mzuri kuliko Rice kule kwny jukwaa lao
Kenge Fc nao unawaona Wana akili timamu wale?

Walimuuza lukaku kwa €10m kwenda Everton
Baadae wakaja kumnunua huyo huyo lukaku kwa €90m kutokea intermilan

Msimu mmoja mbele wakamtoa huyo huyo lukaku kwa mkopo
Unajua kwenda timu ipi? Ni hiyo hiyo intermilan

Walituambia cucurela ni Dani Alves mzungu, ambae Saka alikua anajipitia tu upande wake Kama anaenda sokoni
 
Back
Top Bottom