Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Samuel Chukwueze mnamuonaje? Ataweza kukiwasha right wing Kwa Saka?

Binafsi namuona ni Antony muafrika ingawa anafurahisha kumuangalia. Pia naona kama anaweza kuwa mwepesi sana Kwa premier league na wapinzani watamzidi sana nguvu.
Pia anategemea sana mguu wa kushoto. Hata kupiga tu shuti au kufunga Kwa tap-in Kwa mguu wa kulia nadhani hawezi. Ila akiwa na mpira mguuni hakuna beki anayetamani kumkaba Tumehusishwa nae.

Je hatupaswi kumuangalia Mitoma wa Brighton?
wale Brighton hawafai atakae sogea pale kwa mitoma ni £80-90M
 
Rice is set to undergo a medical before completing his transfer to Arsenal.

The Gunners have agreed to pay the fee in three instalments to West Ham over 24 months.

Personal terms of a minimum of £250,000-per-week have already been agreed.

( Sami Mokbel )
 
FabrizioRomano :


“Nyuma ya pazia, Edu hakuwahi kupoteza subira katika nyakati muhimu za sakata hii

Wakati Manchester City ilipoingia kwenye kinyang'anyiro hicho,

Arsenal hawakuogopa, waliamua kusubiri kisha kutuma pendekezo lao bora zaidi. Arsenal walianza January mawasiliano ya kutaka kumsajili Rice.”
 
EXCLUSIVE:


Arsenal have reached total agreement with West Ham to sign Declan Rice. #WHUFC have now accepted #AFC payment structure on record £100m + £5m fee. 24yo England midfielder given permission to do medical & finalise personal terms


@TheAthleticFC
 
Declan Rice to Arsenal, here we go! Deal in place between Arsenal & West Ham and Gunners sign their top target. ️ #AFC

£100m plus £5m add ons
 
Nimesoma mistari michache nikacheka na kulike kwanza ndo nikamalizia kusoma. We jamaa nenda pale mirembe kama hauna room tayari pale
Yaani mimi kabisa niende kwenye mjengo wa Arsenyau?
Hio hotel ya Dodoma serikali iliijenga maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Arsenyo.
tapatalk_2029434656_512x512.jpg
 
️ | Declan Rice did not want to go to any ‘plastic’ club like Man City, per @FabrizioRomano.

Romano: “Key factor to this deal is Declan Rice did not want to go to any kind of ‘plastic club’. His father Sean Rice is very critical of Manchester City.”

“Rice wants a relationship with the fans, and see passion in the Arsenal Football Club.”


#AFC #Transfers #Rice #MCFC #WHUFC
IMG_20230704_070152.jpg
 
HUwa unawadanganya hivi hivi ,mwisho wa siku unawakimbia kondoo wenzio.
Mpira mchezo wa waz sio chumban ,Nan kadanganywa hapo

Mlidai hata top 4 hatuingii

Timu yenu iliyosajili lundo la wachezaji kwa £650m ikataka kushuka daraja, na mliitabiria ubingwa , Nan muongo Sasa hapo


Safari hii mmesajili wasukuma wakutosha Cha ajabu unaamin mtagombea ubingwa ,Mimi nasema Kama mwaka Jana ,msimu huu mkipambana Sana top 10 labda
 
Back
Top Bottom