arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Unaongea bila aibu mkuu...Sasa ww na haya magarasa yako msimu ujao utamfunga nani....Labda Spurs maana hata Chelsea atawatoa kamasiAiseeee mna kitu ila hamtofika mbali.
Asenyo ni ileile tu juzi jana leo.
Wanaume tunasajili Mlima halafu nyinyi mnaenda kununua ubwabwa na Chai Havertz.
Tukutane August tuwaonyeshe kupanda mlima sio kazi ya kitoto.