Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Thomas Partey set for talks with Arsenal as he seeks clarity over his future.

Partey has two years left on his contract with the Gunners and, despite some reports, has never told the club he wants to leav

(@charles_watts )
 
It's scary but not for us
IMG_20230704_182817.jpg
 
One of the main reasons Thomas Partey left Atletico Madrid for Arsenal in 2020 was to help get the club back into the Champions League & now that he has done that, he would like to represent them in Europe’s elite club competition.


[@charles_watts] #afc
IMG_20230704_183123.jpg
 
After contracting with Havertz, Rice and Timber .. Arsenal is now working to sign Leverkusen full-back Jeremy Frimpong (22 years old) .. Leverkusen has already agreed to sell him based on the player’s desire and a replacement has been contracted
 
Kama kawaida yenu mpo kileleni mwa ligi.
Tutakuwepo hapa kuwapa pole pindi vilio vitapoanza kutamalaki. View attachment 2678613
Nakumbuka mulisema Arsenal haiwezi kuingia top 4 Sasa munasema kuwa wapili musimu uliopita wamefeli hakika Arsenal Sasa Ni level za juu

Kama ulimtabiria mutu kifo lakini kanenepa Unasema bado hajafanikiwa Basi una kiwango Cha juu Cha CHUKI
 
Nakumbuka mulisema Arsenal haiwezi kuingia top 4 Sasa munasema kuwa wapili musimu uliopita wamefeli hakika Arsenal Sasa Ni level za juu

Kama ulimtabiria mutu kifo lakini kanenepa Unasema bado hajafanikiwa Basi una kiwango Cha juu Cha CHUKI
Sio chuki sasa kuichukia timu kama Arsenal si matumizi mabaya ya chuki. Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi. Ngoja tuone msimu unaokuja labda mnaweza kuwa tofauti sababu mmepunguza ubahili kidogo
 
Sio chuki sasa kuichukia timu kama Arsenal si matumizi mabaya ya chuki. Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi. Ngoja tuone msimu unaokuja labda mnaweza kuwa tofauti sababu mmepunguza ubahili kidogo
Acha uchawi ,Arsenal imeshachukua EPL bila kufungwa na hakuna kima yeyote kafikia hiyo rekodi

Mwaka Jana hata Top 6 mlisema haingii kawa wapili bado mnafanya uchawi
 
Several Premier League clubs including Brighton and Palace are interested in signing Arsenal’s Folarin Balogun. Arsenal value the player at around £40-£50mill. Also strong interest from Germany, Italy and France.
 
Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barabarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.

😆😆😆😆 Nimesoma mistari michache nikacheka na kulike kwanza ndo nikamalizia kusoma. We jamaa nenda pale mirembe kama hauna room tayari pale
 
Samuel Chukwueze mnamuonaje? Ataweza kukiwasha right wing Kwa Saka?

Binafsi namuona ni Antony muafrika ingawa anafurahisha kumuangalia. Pia naona kama anaweza kuwa mwepesi sana Kwa premier league na wapinzani watamzidi sana nguvu.
Pia anategemea sana mguu wa kushoto. Hata kupiga tu shuti au kufunga Kwa tap-in Kwa mguu wa kulia nadhani hawezi. Ila akiwa na mpira mguuni hakuna beki anayetamani kumkaba Tumehusishwa nae.

Je hatupaswi kumuangalia Mitoma wa Brighton?
 
Back
Top Bottom