Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barbarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.
🤣🤣
 
Hapa napingana na wewe, tunaitaji Kombe wala sio Cash, Man city alisubiri kwa Gundo wala hakuitaji cash aliitaj kombe
Acha kufananisha timu tajiri kama Mancity inayomilikiwa tajiri mkubwa Sheikh Mansoor na katimu maskini kama Arsenyo.
Arsenyo kujiendesha kwake inategemea kuuza baadhi ya wachezaji ili pesa inayopatikana ndio inalipa mishahara ya wachezaji wengine.
 
Waarabu hawalipi mishahara mbuzi kama hio wanayolipa Kroenke's.
Mshahara wa Ronaldo peke yake huko Uarabuni inaweza fikia nusu ya mishahara ya kikosi kizima cha Arsenyo.
Pesa ya kulipa mshahara wa Mbappe timu masikini kama Arsenyo haina, labda timu iuzwe halafu pesa yote itayopatikana kwenye mauzo ndio inaweza tosha kulipa mshahara wa Mbappe.
Achaneni na kelele za Mbappe humu mnajichosha bure, nyie nendeni mkatafute mafungu ya kina Sambi Lokonga wengine ndio size yenu.
Manjesta imefilisika haiwezi hata kusajili Wala kuuza

Mjiandae kwa vipigo vitakatifu

| Manchester United are operating under takeover uncertainly, strict FFP regulations which means they’re operating around £100m net spend in mind.

[via @MelissaReddy_].
 
Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barbarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.
Cha ajabu unaamini mbappe anaweza kucheza timu Kama manjesta ambayo haijulikan inacheza aina gan ya mpira ,timu ambayo imekuwa sehemu ya wastaafu kula pension ,
 
Hapa napingana na wewe, tunaitaji Kombe wala sio Cash, Man city alisubiri kwa Gundo wala hakuitaji cash aliitaj kombe
Arsenal kwenye mauzo tumekuwa ovyo ndio maana ilibidi tuingie hasara kuvunjia mikataba wachezaji mizigo walionunuliwa kwa pesa kubwa na kulipwa pesa ndefu ,lengo ilikuwa kuunda timu yenye thamani lakini pia kuweza kuuza

So Arsenal wapo sahihi inabidi wauze kwa right price ,ndio maana wamesema Kieran Tierney,Balagun ,Partey watauzwa kwa right price otherwise hawauzwi

Hata Xhaka kauzwa kwa Bei ambayo walipanga €25m

Lakin Kama wanamuuza Partey wanaona replacement Ni Lavia au Tchoumen
 
Hakuna brother, shughul yake ishaisha kitambo sana, hakuna Room ya Caicedo Arsenal chakwanza ni bei ,Arsenal haiwez kutumia £200M kwa Dm wawili tena kwenye dirisha moja.
Cancelo Ni beki wa kulia na kushoto

Ninachoona atafikiriwa iwapo atauzwa Kieran Tierney

Kwa Pep kashaambiwa atafute timu haitajiki alitaka aende Barca tatizo Barca Wanataka mtelezo ,hivo option ni kwa Arteta ,na Arsenal hatuna haraka nae , usishangae dakika za mwisho akauzwa Bei ndogo au mkopo
 
Acha kufananisha timu tajiri kama Mancity inayomilikiwa tajiri mkubwa Sheikh Mansoor na katimu maskini kama Arsenyo.
Arsenyo kujiendesha kwake inategemea kuuza baadhi ya wachezaji ili pesa inayopatikana ndio inalipa mishahara ya wachezaji wengine.
Arsenal imeuza Nan ili ijiendeshe?

Arsenal tupo poor kwenye uuzaji ,na Sasa hatuna mpango wakuuza ili tujiendeshe ,sis sio manjesta

Mpaka wauze kina magwaya,Sancho, Fred mbuna na deadwoods wengine
 
Naimani Partey atabaki, Xhaka anakaribia kwenda Leverkusen

Kwa takwimu za Rice anaonekana anaweza kucheza LHS no.8 ,DM akamatie Partey , RHS no.8 Odegaard

Hapo unapata Radha zote , Possession, Interception , defending ,Ball carrying Ball rentention,Ball control, Chances created,

Nacheka lakini naogopa

IMG_20230704_133956.jpg
 
Nimeipenda sera ya Arsenal, mchezaji anayesajiriwa huwa na umri wa wastani wa miaka 20-26, inaonekana Mwalimu anataka wachezaji atakao kaa nao misimu mitano hadi 6 pamoja.

Ni suala la muda tu Arsenal kushinda epl na Champions league 💪
 
Gabriel Magalhães, Oleksandr Zinchenko, Takehiro Tomiyasu & Gabriel Martinelli were all among the players to return to Arsenal pre-season training at London Colney today. #afc
IMG_20230704_172744.jpg
IMG_20230704_172739.jpg
IMG_20230704_172734.jpg
 
Young Best CB William Saliba ,amesaini Hadi 2027/2028

£200k/w

22yrs now

William Saliba will sign official new long term contract with Arsenal very soon. It’s just matter of time — agreement sealed one month ago. #AFC

Deal until June 2027 with option for further season.
 
Granit Xhaka, waiting for Arsenal’s final green light to make his move to Bayer Leverkusen. #AFC

Deal in place since May as Xhaka only wants Bayer and Xabi Alonso’s waiting for him.

Arsenal will approve Xhaka’s exit once Declan Rice deal is signed and sealed.
 
While Declan Rice was open to joining Manchester City, Arsenal were always his favoured choice. Rice admires Mikel Arteta’s football & is believed to have agreed terms on a long-term deal already. Arteta has gone to great lengths to woo Rice.

[@JacobSteinberg]
IMG_20230704_174556.jpg
 
️ | Jurrien Timber believes Arsenal is the perfect project, per @FabrizioRomano.

Romano:

“Let me clarify, Timber only wanted Arsenal & only wants Arsenal, so he’s really desperate to join Arsenal. He’s convinced that this is the perfect project for him.”
IMG_20230704_175136.jpg
 
Hakika manjesta wamefilisika Hadi timu ya wanawake ,

️ | OFFICIAL: Arsenal confirm the signing of striker Alessia Russo.

Age: 24
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 International: England
️ Goals Last Season: 13
Man United Player of the Season 2022/23

Welcome to the club, Alessia!
IMG_20230704_175833.jpg
 
Huyu mchezaji Manchester united Women waliikataa ofa(World Record bid) toka arsenal women mwezi January,Now kajiunga na Arsenal for Free.

Russo is a Gunner.
IMG_20230704_182435.jpg
 
Back
Top Bottom