arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Wanasema wanamsajili Kane...mi nawaombea wampate af tukutane palepale Darajani kwao tuwabake tena....Hawa ni kuwaacha wabweke sasahivi ila ligi ikianza tuwakande tena....sikumbuki mara ya mwisho wametufunga lini HawaMpira mchezo wa waz sio chumban ,Nan kadanganywa hapo
Mlidai hata top 4 hatuingii
Timu yenu iliyosajili lundo la wachezaji kwa £650m ikataka kushuka daraja, na mliitabiria ubingwa , Nan muongo Sasa hapo
Safari hii mmesajili wasukuma wakutosha Cha ajabu unaamin mtagombea ubingwa ,Mimi nasema Kama mwaka Jana ,msimu huu mkipambana Sana top 10 labda