Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii sio hata changamsha genge huu ni ukosefu wa akil.. Huwez hata jarb weka sentence moja neno Arsenal na Mbappe ni kama dharau hata kama ulikua unachangamsha walevi iyo sio sawa hata kdg.

Khs sio channel ya club au la iyo sisi haituhusu.. Hao ni washabik wa Arsenal na inaonesha jinsi gani wengi wenu mlivo vichwa maji high hopes wkt team yenyw ya kawaida.. Ndo maana mkifungwa hapa mnapotea hamlitak jukwaa lenu.. Jamaa yenu kaja na tetes za usajil humu mmejazana kujazana upepo kua next season mtakua watu tishio la kuotea mbali.
Kwhyo ulitaka tusijadili mkuu...kama inakuchukiza sana ungebaki kwenye jukwaa la timu yako kule mbona rahisi tu...kuhusishwa timu yetu na Mbappe sio ishu na inajulikana ni rumours za hewani tu....Sasa watu hawazuiwi kudiscuss hata kama ni pumba...ww kama ni WA Man UTD...nenda kule kwenu kajadilini updates za mwarabu kupewa timu na £milioni 40 mliyobakiwa nayo kusajili...kama ni Chelsea nenda kakadili kikosi chenu namna mtakavyogombea top 10 msimu ujao...kama ni Liver nenda kajadili namna mtakavyobeba ndoo kama mnavyoaminishana...lakini kuleta kejeli kisa watu Wana discuss mustakabali wa timu Yao huko ni kuwashwa kusiko na msingi
 
Yaani mtu anaumia kabisa ,dah
 
Bayer Leverkusen close to signing Granit Xhaka from Arsenal

Arsenal are set to receive €25million (£21.5m)

Move has not been completed but talks are progressing.

(@TheAthleticFC / @JordanC1107 )
 
️Talks between Arsenal and the players management took place. Gunners considering Benjamin #Henrichs as a backup target.

Arteta, with a very good opinion about the German national
Contract at Leipzig until 2025;
important player for coach Rose.

First call about the interest:
Kicker.

@SkySportDE
 
The boss with Benny Blanco
IMG_20230704_001116.jpg
 
Mikel Arteta and Albert Stuivenberg today at London Colney. Looking ahead to the start of the new season.

#AFC #COYG
IMG_20230704_001845.jpg
 
1 - Jurriën Timber led all players in the Eredivisie last season for...

Successful passes - 2,500
Successful forward passes - 731
Passing accuracy - 91.7%
Progressive carries - 487
Carry progress - 5,038 metres

Showcase.
IMG_20230704_065857.jpg
 
Total ball carry distance (metres) across Europes big 5 leagues 21/22

5152 - Declan Rice 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
5055 - Maxime Lopez
4965 - Vinicius Junior
4897 - Jimmy Cabot
4860 - Saint Maximin 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Elite ball carrier

Stats from @OptaJoe
IMG_20230704_070152.jpg
 
Total ball carry distance (metres) across Europes big 5 leagues 21/22

5152 - Declan Rice 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
5055 - Maxime Lopez
4965 - Vinicius Junior
4897 - Jimmy Cabot
4860 - Saint Maximin 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Elite ball carrier

Stats from @OptaJoeView attachment 2677917
Basi mnatafuta vistat. uchwara ili kujipa moyo. Mmepgwa hana thaman hiyo y 100
 
Assuming XI is:

Ramsdale

White
Saliba
Gabriel
Zinny

Ødegaard
Partey
Rice

Saka
Jesus
Martinelli

9 spaces on bench:

1.Turner
2.Timber
3.Havertz
4.Kiwior
5.Tomi
6.ESR
7.Trossard
8.Jorginho
9.Riess
10.Tierney
11.Eddie/Flo
12.Viera

Who misses out
 
Mkuu statement yako ya mwisho upo serious kweli?mchezaji asubiri mwenzake auzwe huku kuna Giant anamnyemelea?
Mim ni muumin namba moja wa Partey na toka tetesi za mwanzo kabisa kuhusu Partey kuondoka nilipinga na ntapinga hadi mwisho, nilichosema ni taarifa tu za Lavia atasajiliwa endapo partey ataondoka.
 
Kwhyo ulitaka tusijadili mkuu...kama inakuchukiza sana ungebaki kwenye jukwaa la timu yako kule mbona rahisi tu...kuhusishwa timu yetu na Mbappe sio ishu na inajulikana ni rumours za hewani tu....Sasa watu hawazuiwi kudiscuss hata kama ni pumba...ww kama ni WA Man UTD...nenda kule kwenu kajadilini updates za mwarabu kupewa timu na £milioni 40 mliyobakiwa nayo kusajili...kama ni Chelsea nenda kakadili kikosi chenu namna mtakavyogombea top 10 msimu ujao...kama ni Liver nenda kajadili namna mtakavyobeba ndoo kama mnavyoaminishana...lakini kuleta kejeli kisa watu Wana discuss mustakabali wa timu Yao huko ni kuwashwa kusiko na msingi
Watu wanakasirika na kuchukizwa kumhusisha Mbappe na Arsenal sababu inakua ni kama kumvunjia heshima Mbappe.
Huko Ufaransa baada tu ya kuzagaa hizi tetesi wananchi wamekasirika kwelikweli, wameanzisha maandamano na kuchoma moto magari Barabarani kwa ghadhabu walizonazo, Waandishi wa habari wameamua kupindisha ukweli ionekane hayo maandamano yametokana na mauaji ya kijana mweusi ili isije kusababisha mzozo wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Uingereza.
Mbappe mwenyewe kusikia hizi tetesi za kuhusishwa na Arsenyau amemind kinoma.
Anasema huu ni udhalilishaji aliofanyiwa kwa makusudi, tayari amemwambia wakili wake a file kesi mahakamani ya udhalilishaji.
Muda huu tunaongea wakili wa Mbappe yupo kwa DPP anawasilisha malalamiko ya mteja wake ili ikiwezekana hii kesi ipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama ya ICC maana mlichomfanyia hakina tofauti yoyote na uhalifu wa kivita.
 
Kwa stats hizo Rice yupo juu ,maana timu yake mentality yake Ni kuzuia

Hadi pass anamzidi Rodrigo

Partey anauzwa Kama ofa ya maana inakuja ,na hakuna muda ambao Arsenal wanaweza kupata cash kwa Partey isipokuwa sasa

Elewa atauzwa ofa yakueleweka ikija
Hapa napingana na wewe, tunaitaji Kombe wala sio Cash, Man city alisubiri kwa Gundo wala hakuitaji cash aliitaj kombe
 
ARSENAL HAWAJAMALIZA ,BADO WANAMTAKA CANCELO

(bit of a strange one considering circumstances)

Arsenal are now "hot" for Cancelo. Player is on top of Arsenal list. Henrichs and Boey are also seen as alternatives.

Cancelo wishes to go to spain but no concrete offers.

(@kicker_BL)
Hakuna brother, shughul yake ishaisha kitambo sana, hakuna Room ya Caicedo Arsenal chakwanza ni bei ,Arsenal haiwez kutumia £200M kwa Dm wawili tena kwenye dirisha moja.
 
Back
Top Bottom