HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Kwa timu ambayo inazuia halafu jamaa ana stats hizi,itoshe kusema anajua View attachment 2677207
Siyo kwamba anafikia huko Kwa sababu timu yake inazuia sana? Ni kama makipa wanaoshambuliwa sana (kina De Gea) huwa Wana saves nyingi pia...