Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa msimu Jana angetufaa ila kwasasa sio level tena ya kucheza Arsenal ,huo ndio ukweli, angalia kila mwaka tunapanda kwenye Swala la usajili

Msimu ujao Ni kugombea zile top quality
Nakumbuka ulisema baada ya deal la Rice, Next ni Romeo Lavia hili deal limefikia wapi Mkuu Au Pesa za madafu zimeisha.
 
Nilikua naangalia super sport marudio y mech kati y Arse88 Vs Newcastle msimu 2010/2011 Arse88 walikua wanaongoza goli 4 kipindi ch kwanza, game likaisha 4 kwa 4. Nyie Kondoo kumbe nuksi limeanza siku nyingi. Mmelaaniwa
20230424_180858.jpg
 
️BREAKING News #Timber & Arsenal: Understand it’s almost a DONE DEAL!

Last details between the clubs on verge to be clarified now.

New details:
Total agreement expected in the next 48 hours
Total package: €41m transfer fee
And €5m possible bonus payments.

Big deal for all parties! @SkySportDE
 
Wenger orphans kwenye kelele za usajili mpo vizuri sana ngoja ligi ianze uone mnavyolialia hapa.

Kwanza kwanini Amna hata kombe la ulaya poor Wenger orphans
Manjesta nasikia bajet imebaki £40m

Hii timu ishafilisika Sasa

Na ubaya mna kocha uwezo mdogo ,kazi mnayo
 
Arsenal are set to complete the transfers of Declan Rice & Jurrien Timber by the end of the week. The transfer of Rice is ‘95 per cent’ complete, while there is a verbal agreement in place with Ajax for Timber.


[@SamiMokbel81_DM] #afc
 
Kwa statistics hizi why tumuuze Partey?itakuwa ni ukichaa mkubwaView attachment 2677202
Kwa stats hizo Rice yupo juu ,maana timu yake mentality yake Ni kuzuia

Hadi pass anamzidi Rodrigo

Partey anauzwa Kama ofa ya maana inakuja ,na hakuna muda ambao Arsenal wanaweza kupata cash kwa Partey isipokuwa sasa

Elewa atauzwa ofa yakueleweka ikija
 
Back
Top Bottom