verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,126
- 6,179
Kwa mujibu wa @TNTX kuna suprise inakuja kabla ya dirisha kufungwa@hamis77 wewe ni chama langu ila usitake kuwatisha majirani kwa namna hii bwana![]()
Kwa mujibu wa @TNTX kuna suprise inakuja kabla ya dirisha kufungwa@hamis77 wewe ni chama langu ila usitake kuwatisha majirani kwa namna hii bwana![]()
Hela zinatoka mfukoni mwako kwani kaka?Ila huu ni ujinga sana
Ndo tatizo la mashabiki wa NYUMBU FC, uelewa wao mdogo sana wa mambo mengine na sababu kubwa wengi wao walianza kushabikia team yao iliyokuwa inaongozwa Kwa kubebwa enzi zile za FegMan Utd ni timu ya pili kwa utajiri duniani, haiwezi kufilisika kirahisi kama unavyofikiria.
Shida ya Utd inamilikiwa na kuendeshwa na matajiri wa hovyohovyo. View attachment 2675342
Nionyeshe source yoyote hata ya magazeti ya udaku huko UK inayothibitisha kua Utd imefilisika?Ndo tatizo la mashabiki wa NYUMBU FC, uelewa wao mdogo sana wa mambo mengine na sababu kubwa wengi wao walianza kushabikia team yao iliyokuwa inaongozwa Kwa kubebwa enzi zile za Feg
Tangu Mzee kuondoka na Mbeleko kushney basi wote saiz hatuchekani, mlikuwa mnajiulizisha sana inakuaje Arsenal anakaa miaka 10 bila EPL ila saiz naona tunaongea lugha moja, imebaki kuwa club ya historia
Anyway, we jamaa Kuwa most valuable team haina maana Una hela, kinachoangaliwa kwenye valuation ni assets, popularity, broadcasting rights, sporting potential na stadium revenue
Na umuhimu wa valuation ni pale ambapo team itataka kuuzwa,kuingia mkataba na sponsor nk, kwahiyo kwenye valuation hawaangalii Una cash kiasi gani na wala hawataki kujua
Club inaweza ikafirisika kwa kupunguza income revenue kama ilivokuwa Barcelona ila inabakia kuwa Most valuable Team in the world Kwa sababu ya vitu kama hivo nilivotaja juu
Kwahiyo siku ingine we Nyumbu ukiambiwa mmefirisika tafadhari usije na hiyo list ya most valuable basi tafuta means ingine ya Kujitetea kuwa hamjafirisika
Forward zetu sasa hivi tunachukua kwa mkopo tu, tunamrudisha Werghost kwao kisha tunamchukua Joao Felix kwa mkopo.
Hawa Glazers hawana adabu kabisa yaani wanasababisha mpk mashabiki wa Arsenyau leo hii wanatubeza kwa bajeti yetu finyu ya usajili kweli?
Subiri timu tumkabidhi mwarabu tuwang'oe kina Ordegard na Saka waje kwenye Theatre Of Dreams ili tuwafunge midomo vizuri. View attachment 2675730
Nionyeshe source yoyote hata ya magazeti ya udaku huko UK inayothibitisha kua Utd imefilisika?
Hivi unajua kwanza hata maana ya kufilisika we Kima?
Yaani umekaa zako juu ya mikorosho huko Mbande baada kuvimbiwa maembe asubuhi asubuhi halafu unaropokwa tu Manchester imefilisika.
Hivi ni mpuuzi gani atakaekubali kutoa pesa yake £5b kununua timu ambayo tayari imefilisika?



bado nalia na uelewa wa mashabiki wa UNYUMBUNI, pamoja na clarification kuhusu Valuation bado unakuja kunivagaa kama Nyumbu wafanyavyo huko Mbugani

, ujue kweli saizi nipo Mbande hapa kuna issue napiga, kwahiyo unamaanisha watu wa Mbande wanakula maembe asubui asubuiLabda mnunue viatu vyao ndo mnaweza bei yake sio hao kenge nyie....rekebisheni hata baadhi ya sehemu za uwanja maana tunasikia mvua ikinyesha tu panavuja kwlikwliForward zetu sasa hivi tunachukua kwa mkopo tu, tunamrudisha Werghost kwao kisha tunamchukua Joao Felix kwa mkopo.
Hawa Glazers hawana adabu kabisa yaani wanasababisha mpk mashabiki wa Arsenyau leo hii wanatubeza kwa bajeti yetu finyu ya usajili kweli?
Subiri timu tumkabidhi mwarabu tuwang'oe kina Ordegard na Saka waje kwenye Theatre Of Dreams ili tuwafunge midomo vizuri. View attachment 2675730
Albert Sambi Lokonga closes in on Burnley move.
A loan may be the eventual solution.
(@reluctantnicko - Tier1)
Injury prone...tielemans na Partey hawachekani kabisa linapokuja suala la majeruhiTieleman ameenda astonvilla. Mchezaj ambae tulimtaka sana dirisha lililo pita then dirisha hili atukua na habar nae kabisa, sijui kwann ua inatokea hv
Kwa msimu Jana angetufaa ila kwasasa sio level tena ya kucheza Arsenal ,huo ndio ukweli, angalia kila mwaka tunapanda kwenye Swala la usajiliTieleman ameenda astonvilla. Mchezaj ambae tulimtaka sana dirisha lililo pita then dirisha hili atukua na habar nae kabisa, sijui kwann ua inatokea hv
Tieleman ameenda astonvilla. Mchezaj ambae tulimtaka sana dirisha lililo pita then dirisha hili atukua na habar nae kabisa, sijui kwann ua inatokea hv
aisee unakosea sanaAmechuja sana, hata kuanza kwenye kikosi ilikuwa nadra. Sikuona umuhimu wake kwa sasa
aisee unakosea sana
mfatilie tena utaona ubora wake