Mwendo wa spana tu kw hawa makondoo, timu gani haina hata kombe moja la ulaya halafu wapo tu wananenepeana na kufurahia sajili walizopgwa, ni dharau sana sana kuona shabiki wa Ars88 ana furaha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkohoti umejua kuzitaabisha mbavu zangu.
Yaani hawa mashabiki wa Arsenyau laiti timu yao ingebahatika kua hata na Europa Cup sijui hali ingekuaje humu.