Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akiflop si ndio mfurahi Sasa!... Yaani mshahara atoe Arsenal halafu nyumbu ndio mnasikitika!.. kama tumepigwa si ndio mfurahi?.... Na mkileta fyokofyoko tunabeba Sancho!.. Nia tunayo, sababu tunayo na uwezo tunao!.. mwaka I lazina muwe huko kwenye relegation zone!
 
Asenyo ni kama nyoka la kibisa tu, hata mkipewa kikosi kizima cha Mancity mtakua na uwezo wa kuongoza ligi kwa siku 258 halafu baada ya hapo mnatupa taulo chini na kuanza kuchuchumaa mpaka ligi inaisha.
Hawa hapa chini ni wajanja walishtukia mapema wakaamua kujiongeza, la sivyo wangestaafu bila ya kugusa kombe la Epl.
 
Flano mmefilisika

Cash-strapped United don’t have the money to deliver all of their Ten Hag’s summer targets. @MullockSMirror
 
Flano mmefilisika

Cash-strapped United don’t have the money to deliver all of their Ten Hag’s summer targets. @MullockSMirror
Man Utd ni timu ya pili kwa utajiri duniani, haiwezi kufilisika kirahisi kama unavyofikiria.
Shida ya Utd inamilikiwa na kuendeshwa na matajiri wa hovyohovyo.
 
Man Utd ni timu ya pili kwa utajiri duniani, haiwezi kufilisika kirahisi kama unavyofikiria.
Shida ya Utd inamilikiwa na kuendeshwa na matajiri wa hovyohovyo. View attachment 2675342
Unaweza kuwa valuable lakini ukawa na mideni kwlikwli...mpk dirisha likifungwa tutajua hela ya usajili imetoka ngapi na kile kikundi chenu cha mazoezi
 
Hili jukwaa la Gunners saiv unavolikuta juu ya Thread kila mara kipind hiki cha usajili wanavopiga porojo humu na mbwembwe kibao.

Ngj ligi ianze uone watu wanavopoteana hapa
Majukwaa yote yameamia humu kuna jukwaa la timu fulani, nilipita baada ya wiki nakuta comment 2 tu
, kwaiyo lazima watu wa kila majukwaa waamie umu usajili,uchambuzi wa kimbinu na uchambuzi wa maeneo muhimu yanayoitajika kwenye usajili unaupata umu.
 
Hii Arsenal ya mwaka huu itawaua Kwa pressure aiseee!
 
24 mins ago / autty

Arsenal, Liverpool, Newcastle United and Man United are all said to be interested in signing Sporting CP defender Goncalo Inacio during the summer transfer window

[https://img]

Sporting CP defender Goncalo Inacio is the latest player to be linked with a move to Arsenal during the summer transfer window.
 
Man Utd ni timu ya pili kwa utajiri duniani, haiwezi kufilisika kirahisi kama unavyofikiria.
Shida ya Utd inamilikiwa na kuendeshwa na matajiri wa hovyohovyo. View attachment 2675342
Bajeti haitoshi huku


Msipoita maji mma Safari hii


The £60m deal #mufc have agreed to pay Chelsea for midfielder Mason Mount will account for half of the club’s £120m transfer budget. [@MullockSMirror]
 
Man Utd ni timu ya pili kwa utajiri duniani, haiwezi kufilisika kirahisi kama unavyofikiria.
Shida ya Utd inamilikiwa na kuendeshwa na matajiri wa hovyohovyo. View attachment 2675342
Oya chagua Moja Asajiliwe kipa mpya lakin forward aje Vicent ABOUBAKARI au Asajiliwe Forward mwenye angalau lakini kipa awe Degea


Timu ishafilisika hii


The prospect of signing a goalscorer is why one-on-one talks are planned with David de Gea once he returns to England. If United sign a goalscorer, the club may not be able to sign a new No.1.

[ @lauriewhitwell ] - Tier 1
 
Arsenal winger Reiss Nelson is linked with a move to Newcastle after his contract with the Gunners expired.
The 23-year-old recently turned down a contract offer from the Gunners, signaling a possible departure from the North London club.

Having risen through the ranks of the Arsenal academy, Nelson has struggled to secure regular playing time in the first team, unlike his peers Emile Smith Rowe and Bukayo Saka.
With Arsenal’s recent signings of Kai Havertz and Leandro Trossard, opportunities for Nelson to start games would become even scarcer, prompting his potential move.
ben white reiss nelson
Reiss Nelson to Newcastle?
According to Football Transfers, Newcastle have expressed keen interest in bringing the promising winger to St. James’ Park.
The Magpies have reportedly reached out to Nelson’s representatives, and the chance to reunite with former teammate Joe Willock could be a factor in persuading him to join.
He has scored 7 goals and assisted 7 others in 66 appearances for Arsenal in all competitions. If Newcastle manage to sign him, he will be a decent addition to the team who are looking to strengthen their squad ahead of the new campaign.
 
Forward zetu sasa hivi tunachukua kwa mkopo tu, tunamrudisha Werghost kwao kisha tunamchukua Joao Felix kwa mkopo.
Hawa Glazers hawana adabu kabisa yaani wanasababisha mpk mashabiki wa Arsenyau leo hii wanatubeza kwa bajeti yetu finyu ya usajili kweli?
Subiri timu tumkabidhi mwarabu tuwang'oe kina Ordegard na Saka waje kwenye Theatre Of Dreams ili tuwafunge midomo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…