Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nelson ame mature sana...namuona Gnabry ndani yake akipewa nafasi zaidi....ila Sasa hzi taarifa za kwamba yupo kimya hapatikani anatafutwa ingawa kakubaki verbally kuongeza mkataba likizo hii ndo zinatuchanganya...tukimuacha aende tutajuta baadae
Yah wamemalizana verbally agreement ,anatafutwa asaini

Dogo ame mature Sana , halafu uzuri anacheza Winga zote bila shida
 
kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
Hio pesa ya Rice tu kupatikana ni utata bado mnajitafuta kulipia hio first installment halafu ndio mumsajili Mbappe?
Huyo Mbappe mwenyewe akisikia hizi tetesi lazima atamind na kuona amedhalilishwa.
Mkuu kipindi mnamsajili yule Tapeli Antony mlikuwa hamuoni au YouTube ziliwadanganya....mchezaji anajua kuzunguka na mpira kipindi hakabwi na yyte
 
Sasa inakuwaje tena anaanza kuwapa watu wasiwasi au anaona amekua sasa
Wanasema atasaini japo Kuna wasiwasi maana AC Milan ndio walikuwa wanamtaka Sana , nasikia Arteta kamwambia atacheza RW ,

SALIBA pia Verbal agreement tayari anasaini akirudi ,

Pre season wanajiunga karibuni hapa
 
Darren Bent thinks the chance for Wilfried Zaha to join Arsenal has passed

Zaha is now a free agent after his contract at Crystal Palace runs out

The winger had previously been a target for Arsenal but Bent told talkSPORT that he thinks the winger is ‘too old’ to join Arsenal
 
Upande anaocheza umesheheni tyr...

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kipindi mnamsajili yule Tapeli Antony mlikuwa hamuoni au YouTube ziliwadanganya....mchezaji anajua kuzunguka na mpira kipindi hakabwi na yyte
Antony kipaji kile, subiri msimu ujao uone jinsi atakavyo wakimbiza.
Antony msimu wake wa kwanza ni kama Grealish tu, ila msimu ulioisha mliona jinsi Grealish alivyo uwasha moto.
 
Hadi dakika hii nyumbu Kule unyumbuni wapo katika hali Kama vipi, vipi tu
Nyumbu wanamlalamikia boss auze timu boss anawa-mind body pesa analizotoa

Body wanajipanga zigo la lawama wamshushie 10hag

10hag anawa-mind nyumbu wa uwanjani ambao kiukwel hawafundishiki
Mbaya zaidi hawauziki pia ata kwa bure, mfano magwaya

Binafsi naona nyumbu wameshatupa taulo hata ligi bado haijaanza

Antonty
Sancho
Rashfod
Magwaya
Martial
Mc tom
Ganacho
Bisaka
Bruno
Varane
Fred

Hao wote ukiweza kuingiza ata £50m Basi utakua marketing officer mmoja matata Sana
 
Antony kipaji kile, subiri msimu ujao uone jinsi atakavyo wakimbiza.
Antony msimu wake wa kwanza ni kama Grealish tu, ila msimu ulioisha mliona jinsi Grealish alivyo uwasha moto.
Anthony yule kubadilika labda aende akacheze ligi za mchangani

Anthony wa manjesta ndio Huyo Huyo alivyokuwa Ajax , ligi ya wakulima msimu mzima ana Goli 6 , kaja EPL Goli 4 ,

Mara 100 Sancho naamin akipata mazingira mazuri ana potential yakuwa tishio , maana akiwa bundesliga alishafanya mabalaa sio msimu mmoja Ni zaidi ,

Anthony pale mmepigwa tafuten Winga mwingine ,Grealish mwenyewe unayesema ka click Ni sababu ya mfumo wa pep ,lakin bado namba zake haziridhishi, lakini Jack wa Astonvilla alistahili kabisa kuuzwa £100m , alikuwa muhimili mkubwa pale astonvilla akifunga Goli 10 na assist 10 EPL

Anthony pale Ajax alikuwa mchezaji wa kawaida Sana, hivo Ni ngumu kusema ata click kirahisi hivo .
 
Antony kipaji kile, subiri msimu ujao uone jinsi atakavyo wakimbiza.
Antony msimu wake wa kwanza ni kama Grealish tu, ila msimu ulioisha mliona jinsi Grealish alivyo uwasha moto.
Hamna kitu mule...mchezaji mwenye potential unamuona tu....pale United mna dhahabu mnashindwa kutumia...JADON SANCHO...hyu ukinambia msimu ujao akicheza upande wake anaotakiwa kucheza atakiwasha ntakubali sio mzee wa misifa Antony...mule hamna kitu
 
Hadi dakika hii nyumbu Kule unyumbuni wapo katika hali Kama vipi, vipi tu
Nyumbu wanamlalamikia boss auze timu boss anawa-mind body pesa analizotoa

Body wanajipanga zigo la lawama wamshushie 10hag

10hag anawa-mind nyumbu wa uwanjani ambao kiukwel hawafundishiki
Mbaya zaidi hawauziki pia ata kwa bure, mfano magwaya

Binafsi naona nyumbu wameshatupa taulo hata ligi bado haijaanza

Antonty
Sancho
Rashfod
Magwaya
Martial
Mc tom
Ganacho
Bisaka
Bruno
Varane
Fred

Hao wote ukiweza kuingiza ata £50m Basi utakua marketing officer mmoja matata Sana
Kweli tena wameshachemka mapema sana
 
#Arsenal will have both Declan Rice and Jurriën Timber announced next week before the team departs for the pre-season.
 
Mason Mount, Eddie Nketiah, Declan Rice were all on the same Chelsea team in their academy.
IMG_20230701_132305.jpg
 
Nelson ame mature sana...namuona Gnabry ndani yake akipewa nafasi zaidi....ila Sasa hzi taarifa za kwamba yupo kimya hapatikani anatafutwa ingawa kakubaki verbally kuongeza mkataba likizo hii ndo zinatuchanganya...tukimuacha aende tutajuta baadae
Nelson hata akiondoka Arsenal hakuna atakayejuta uwezo wake umeishia pale,ana miaka mingi Arsenal but graph yake inaenda juu na kurudi chini,May be ana uwezo wa kuplay teams zingine za kawaida refer Willock wa Newcastle but kuchezea team Giant kama Arsenal imemshinda sema hakuna namna sababu ya umri Acha abakie tuna competitions nyingi season hii hata Nketiah hastahili kuwa Arsenal kwa sasa dau likija asepe tuanze upya
 
According to @Transfersdotcom

Arsenal are eyeing PSG’s Kylian Mbappe and are contemplating putting together an offer for his representatives. Mbappe’s contract is up at the Parc des Princes next year, meaning that PSG must sell now or risk losing him on a free transfer in 2024

This deal could benefit arsenal significantly even if purchased at £150m. Sales of his shirt could recoup the cost incurred within one season plus number of goals scored and points exceeding previous seasons
 
According to @Transfersdotcom

Arsenal are eyeing PSG’s Kylian Mbappe and are contemplating putting together an offer for his representatives. Mbappe’s contract is up at the Parc des Princes next year, meaning that PSG must sell now or risk losing him on a free transfer in 2024
@hamis77 wewe ni chama langu ila usitake kuwatisha majirani kwa namna hii bwana
 
Arsenal have been linked with a surprise move for the Paris Saint-German superstar Kylian Mbappé.
The 24-year-old will be out of contract next summer and he has been linked with a move to Real Madrid recently.
According to a report from Football Transfers, Arsenal could come into the picture if Los Blancos do not sign the French international this summer.
Mbappé will be a free agent next year at Mikel Arteta’s side could look to make an ambitious move for him.
Mbappé is undoubtedly one of the best players in the world and he is destined to be the next superstar in the game.
The 24-year-old will add goals, creativity, pace and flair to the Arsenal attack if the Gunners can pull off the move. It would be an outstanding coup for them.
Mbappé picked up 41 goals across all competitions last season, and he could transform Arsenal in the final third.
The Gunners have been extremely ambitious in the transfer market so far and they have already secured the services of Kai Havertz from Chelsea. They are closing in on a deal to sign Declan Rice from West Ham and Jurrien Timber from Ajax.
psg nantes mbappe kylian
Mbappe has been PSG’s best player this season
Meanwhile, the report from Football Transfers claims that Arsenal are keeping tabs on the Real Madrid midfielder Aurelien Tchouameni as well.
It is evident that they are looking to put together a top-class team capable of winning major trophies and Mbappé would certainly improve them immensely.
It will be interesting to see how the situation develops over the next few months.
 
Nelson hata akiondoka Arsenal hakuna atakayejuta uwezo wake umeishia pale,ana miaka mingi Arsenal but graph yake inaenda juu na kurudi chini,May be ana uwezo wa kuplay teams zingine za kawaida refer Willock wa Newcastle but kuchezea team Giant kama Arsenal imemshinda sema hakuna namna sababu ya umri Acha abakie tuna competitions nyingi season hii hata Nketiah hastahili kuwa Arsenal kwa sasa dau likija asepe tuanze upya
"But kuchezea team Giant kama Arsenal"
hii sentence imenichekesha sana.
Yaani hata wewe computerarsenal mtu ambae siku zote hua naamini ni miongoni mwa mashabiki wa chache wa Arsenal wanaojielewa unathubutu kabisa kuudanganya umma kwa kusema Arsenyo ni Giant team kweli?
Bora hata verifaidi yuza alikiri wazi kua hii sio timu bali ni kikundi tu cha waimba taarabu.
1688208601890.jpg
 
"But kuchezea team Giant kama Arsenal"
hii sentence imenichekesha sana.
Yaani hata wewe computerarsenal mtu ambae siku zote hua naamini ni miongoni mwa mashabiki wa chache wa Arsenal wanaojielewa unathubutu kabisa kuudanganya umma kwa kusema Arsenyo ni Giant team kweli?
Bora hata verifaidi yuza alikiri wazi kua hii sio timu bali ni kikundi tu cha waimba taarabu. View attachment 2675032
Flano muda wote unawazaga ujinga ujinga ,na sapoti kubwa unaipata kwa wale mashabiki toxic
 
Back
Top Bottom